Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Leave him

Love doesn't hurt, hope + expectations do. Hiyo kujipa moyo kuwa sijui atapiga muyaongee etc. Au hoping and expecting kuwa atachange na finally atarudi to his senses na kuanza kukuonyesha upendo uutakao. You are just setting yourself up for a very painful heartbreak huko mbeleni.
Thank you thank you

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Yale masahibu yako ya aliyekuwa mume wako kumtafuna mdogo wako, kumpa ujauzito na hatimae kuachana, tayari umeanza mahusiano mapya eeh!!!

Pole sana, jamaa hakupendi, it's very simple, hakupendi, sijui kama wewe hulioni hilo au ni kengeza la mapenzi.

Halafu huyo jamaa asije kuishi kwa nyumba yako, usije kumshushua kama aliyekuwa mume wako.
Duuuh watu mna vi archives vidogo kwa medula eee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
kwa wote wenye kuumizwa kimapenzi nawashauri:
1: Anza gym- hadi utoke huko utakua umechoka balaa kitu utakachowaza kufanya ni kuoga,kula, kulala
2: Usipost zile quote za cjui "MEN ARE SHIT [emoji90][emoji90][emoji90]" ikiwezekana usipost chochote kabisa especially hayo madude ( kama ww ni mtu wa social media)
3: Zidisha urembo wako- kama ulikua haupaki hata lip balm paka my friend
4: wacha kusikiliza manyimbo ya kuhuzunisha cjui akina celine Dion.. yan futa kabisaaaaaa bora usikilize [HASHTAG]#kokoro[/HASHTAG]
5: Lastly, concentrate on yourself

Men are meant to love us..not us to love them, we are supposed to obey tu...
Nice words
 
IMG-20170709-WA0001.jpg
 
Kweli kbsa. Kinachoniudhi kwenye aina hii ya upande mmoja kuegemea ni kwamba waweza kukosa usingizi wakati mwenzako hakumbuki kama ku a mtu kama wewe. Nikiwaza hivyo naagiza round ya pili[emoji85] [emoji85] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji87]

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Wa bandia uko aje jmn. STUNTER hebu kuja kipande hii unambie wako ni wa namna ipi bby love

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
When I say I love you baby amini its true,
jje's Mi nakupendaga... Ona
The only thing I have in my life is you..
Agah chomeka nyavu nivue dagaa...
washa penzi kama moto... Tuwakomeshe hao wanoleta chokochoko..
Na penzi kama bia nilewesheeee
eeh
Na huba kilo mia nibebeeshe...!!
 
Kweli kbsa. Kinachoniudhi kwenye aina hii ya upande mmoja kuegemea ni kwamba waweza kukosa usingizi wakati mwenzako hakumbuki kama ku a mtu kama wewe. Nikiwaza hivyo naagiza round ya pili[emoji85] [emoji85] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji87]

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
naona ndo utaratibu tu wa maisha, maana yapo yaani na ndo hivo kweli.., binadamu hana hulka ya kuthamini saana kile kilichopo, kila mara hujihangaisha na cha juu ya kile.
 
When I say I love you baby amini its true,
jje's Mi nakupendaga... Ona
The only thing I have in my life is you..
Agah chomeka nyavu nivue dagaa...
washa penzi kama moto... Tuwakomeshe hao wanoleta chokochoko..
Na penzi kama bia nilewesheeee
eeh
Na huba kilo mia nibebeeshe...!!
Bby i have no more words to explain how much i love you. Wkt mwingine nanyamaza tu maana sina cha kukngea.

Thanks barafu wa moyo wangu[emoji8] [emoji173]

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
naona ndo utaratibu tu wa maisha, maana yapo yaani na ndo hivo kweli.., binadamu hana hulka ya kuthamini saana kile kilichopo, kila mara hujihangaisha na cha juu ya kile.
Yaan Mungu tusaidie na utupe subra. Ila bhana wanadamu tumeumbwaje sijui. Ukiwa nacho hukithamin ila ngoja kiteleze jumla, ndo hujua kumbe almas hata ikiwa kwa udongo thaman yake ni ile ile

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Maisha maisha, mapenz mapenzi
IMG-20170708-WA0028.jpg

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Nikipenda mtu akanionesha picha 2 tu za kutonipenda huwa sipotezi muda wangu kwako mpaka wengine huanza kujihisi na kurudi wenyewe, mambo mengine huwa mnajiendekeza wenyewe ngoja muipatepate.
 
Leave him

Love doesn't hurt, hope + expectations do. Hiyo kujipa moyo kuwa sijui atapiga muyaongee etc. Au hoping and expecting kuwa atachange na finally atarudi to his senses na kuanza kukuonyesha upendo uutakao. You are just setting yourself up for a very painful heartbreak huko mbeleni.
Chukua ushauri was huyu kaka...yang unajitengenezea maumivu mwenywe..bora uumie sasa kwa kujilipua mwenyw kuliko kuja kulipuliwa...fanya maamuzi magumu mpnz...wanaume ndvy walivyo..move on
 
Ni kweli mwenzangu dawa kujiweka pembeni tu kujiepusha na mengi
Yani wew kaza moyo achana nae utakuja kutoa ushuhuda..watu tumeumizwa Zaid ya apo mpaka tukatafuta washaur kwa kuwalipa..ili mradi tu mtu uwe sawa...I believe u can ni maamuzi..yani mm moyo wangu ushakufaga ganzi ck nyng yani kwakweli cjui mtu anifanyie nn ndo nione cha Ajabu...mtu unajua kabisaa hakupendi lkn nlikuwa namwomba japo a pretend tu moyo ukikaa sawa ntakubali taratibuu..weeee wanaume Hawa🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom