Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Ukiona mpaka nimeandika hapa maana yake nimeshafanya kila jitihada
Naelewa kupenda aisee ni sawa kuwa addicted na dawa za kulevya yani ngumu kumuacha unayempenda hata kama ukweli unaujua
 
Mahusiano ya siku hz sijui yakoje, uaminifu ni zero kbs. Dah heri hata ningesomea wito wa usista.
Hata masister nao wanachangamoto zao, mapadri wanawasumbua wengine wanatamani kuwa na familia basi vurugu tupu kilichobaki nikumuomba Mungu tu
 
Hata masister nao wanachangamoto zao, mapadri wanawasumbua wengine wanatamani kuwa na familia basi vurugu tupu kilichobaki nikumuomba Mungu tu
Ndio jambo la msingi hilo.
 
Kuna wakati inabidi ujikubali alafu ukubali kupoteza vitu vingine ili kutengeneza maisha yenye furaha na Amani hata kama hiyo amani ni ya kuvuta kwa kamba

Hadi kufikia hapo huna haja ya kuomba ushaur juu ya nini ufanye ila Unapaswa kuomba ushaur na namna gani unaweza kumuacha jamaa na kutafuta mtu sahihi ambaye atakuwa pacha wa hisia zako sio wa kukuumiza Tena

Duniani Kuna matunda mengi sana na matamu sana lakin ya na tofautiana kiwango cha utamu na raha halisi katika utamu kuwa makini katika uchaguzi wako wa Aina ya Tunda na utamu wake
 
Leave him

Love doesn't hurt, hope + expectations do. Hiyo kujipa moyo kuwa sijui atapiga muyaongee etc. Au hoping and expecting kuwa atachange na finally atarudi to his senses na kuanza kukuonyesha upendo uutakao. You are just setting yourself up for a very painful heartbreak huko mbeleni.
True mkuu but inadepend mkuu inawezekana hyu bint ndo anauanza ulimwengu huu xo ameingia mzimamzima DAT y anakula za chembe[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Sasa msaada wa nini hapo ina maana hujaelewa somo? Hizo ndio zile njia za kuachana na mtu asiyekupenda jamaa kaamua kutumia live, anza maisha mapya mamaaa
 
True mkuu but inadepend mkuu inawezekana hyu bint ndo anauanza ulimwengu huu xo ameingia mzimamzima DAT y anakula za chembe[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Ni kuamua tu
 
Sasa msaada wa nini hapo ina maana hujaelewa somo? Hizo ndio zile njia za kuachana na mtu asiyekupenda jamaa kaamua kutumia live, anza maisha mapya mamaaa
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Usikute kuna mtu anakupenda kwa dhati una mpuuza, nyie wanawake wajinga sana huwa mnang'ang'ana na mtazamo wa nje na kuacha vitu muhimu matokeo yake mkilizwa mnakimbilia mtandaoni

Hata sikuone huruma
 
Hata masister nao wanachangamoto zao, mapadri wanawasumbua wengine wanatamani kuwa na familia basi vurugu tupu kilichobaki nikumuomba Mungu tu
Ndivyo mnavyotiana moyo
 
kwa wote wenye kuumizwa kimapenzi nawashauri:
1: Anza gym- hadi utoke huko utakua umechoka balaa kitu utakachowaza kufanya ni kuoga,kula, kulala
2: Usipost zile quote za cjui "MEN ARE SHIT [emoji90][emoji90][emoji90]" ikiwezekana usipost chochote kabisa especially hayo madude ( kama ww ni mtu wa social media)
3: Zidisha urembo wako- kama ulikua haupaki hata lip balm paka my friend
4: wacha kusikiliza manyimbo ya kuhuzunisha cjui akina celine Dion.. yan futa kabisaaaaaa bora usikilize [HASHTAG]#kokoro[/HASHTAG]
5: Lastly, concentrate on yourself

Men are meant to love us..not us to love them, we are supposed to obey tu...
 
Back
Top Bottom