Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Shoga pole ila inabidi tu umuache Na maisha yaendelee yaan act like he/she is not existing jipe moyo na jitizame kwenye kioo naamini we ni mzuri tafta alietulia
Aiseee sasa akitafuta huyo mzuri alietulia atamjuaje we bada kumwambia atulie hicho kiungo kipumzike we unataka akakigawe kwa mwingine kwelii????.
 
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
[emoji121]
MKUU,

NI_PM NAMBA YAKO YA SIMU FASTA NIKUSAIDIE.
 
Upendo wa kweli huwa hautegemei malipo,
Ukiona unampenda mtu halafu umeweka expectation za yeye kukupenda kama ulivyompenda hio ni business (commodity exchange) sio Upendo.
Acha maneno yako wewe kuna aina tofauti za upendo wewe unazungumzia upi lamda ,hope its not romantic love kulingana na maelezo yako
 
Heri ww Dada yangu Mimi hapa na mwezi apokei cm wala kunijibu text huyuu mwanamke kanifanya niwe chizi kazini.ila nimeapa mwanamke ataisoma namba kwenye maisha yangu. Nimetoka job nimeingia kulala.Eee Mungu anisaidie nivuke hili Salama.
Mwanaume unateswa na mwanamke na unaapa eti ataisoma namba kwenye maisha yako sasa mkuu utamfanya nini zaidi ya kumwacha ajiendee zake huko pepo huyo wanawake siku hizi wako kiganjani kwako kwenye simu yako akiringa mwache achape lapa kamata TOYO nyingine endesha yanini kujitakia dhambi kwa Mungu.
 
Kaza moyo.. Muache
Though utaumia siku mbiltatu then utakua poa tu

You won't suffer for the rest of your life

Wake up girl... Kuna uvumilivu ila wanaume wengine wakware tu

Cc Smart911
 
Kaza moyo.. Muache
Though utaumia siku mbiltatu then utakua poa tu

You won't suffer for the rest of your life

Wake up girl... Kuna uvumilivu ila wanaume wengine wakware tu

Cc Smart911
Kwa mujibu wa maelezo ya mtoa mada... Kachukua maamuzi ya haraka haraka sana...

Kitendo cha kuona na kugeuza haraka haraka tayari ni point kwa jamaa ndiyo maana anamtesa...

She was supposes to confront them face to face... Kama hotokuwa jasiri mapenzi yataendelea kumtesa na kumkula...

Jamaa yupo kimya kwa sababu anamsikilizia mwanamke...
 
Kama ukishindwa kabisa tafta boya wa kuzugia maana dawa ya moto ni moto..Yaani nawish ulete mrejesho hapa kwamba umemove on ntafurah sana coz hata mm nshapitia huko ila solution ilikua hii badae jamaa alivoona nimemove akaanza kurudi tena nkakataa
Kwahiyo mpaka Leo bado upo na boya la kuzugia tu?
 
Kama ukishindwa kabisa tafta boya wa kuzugia maana dawa ya moto ni moto..Yaani nawish ulete mrejesho hapa kwamba umemove on ntafurah sana coz hata mm nshapitia huko ila solution ilikua hii badae jamaa alivoona nimemove akaanza kurudi tena nkakataa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama ukishindwa kabisa tafta boya wa kuzugia maana dawa ya moto ni moto..Yaani nawish ulete mrejesho hapa kwamba umemove on ntafurah sana coz hata mm nshapitia huko ila solution ilikua hii badae jamaa alivoona nimemove akaanza kurudi tena nkakataa
Hiyo mbona ndiyo itanitesa zaidi
 
Kaza moyo.. Muache
Though utaumia siku mbiltatu then utakua poa tu

You won't suffer for the rest of your life

Wake up girl... Kuna uvumilivu ila wanaume wengine wakware tu

Cc Smart911
Thank you..nimeshapiga moyo konde
 
Msaada wa nini sasa hapo unautaka? Siyo kila unayempenda na yeye atakupenda au lazima uwe naye.

Msahau huyo mtu na uwambie huo moyo wako uache kiherehere kazi yake kusukuma damu.
 
Heri ww Dada yangu Mimi hapa na mwezi apokei cm wala kunijibu text huyuu mwanamke kanifanya niwe chizi kazini.ila nimeapa mwanamke ataisoma namba kwenye maisha yangu. Nimetoka job nimeingia kulala.Eee Mungu anisaidie nivuke hili Salama.
Pole sana umeandika hadi nikakusikilia huruma. Jst take a simple rule ni kwamba? Sometimes love does not exist!!!! I said sometimes[emoji85] [emoji38] [emoji38] [emoji12]

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Upendo wa kweli huwa hautegemei malipo,
Ukiona unampenda mtu halafu umeweka expectation za yeye kukupenda kama ulivyompenda hio ni business (commodity exchange) sio Upendo.
CEPHA nifundishe na mm kidogo, so tu expect nn ndugu yangu

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Nimeipendaje hii. Rule on this: Make sure you love yourself kwanza jmn. Duuuh y kill yourself

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom