Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Shoga pole ila inabidi tu umuache Na maisha yaendelee yaan act like he/she is not existing jipe moyo na jitizame kwenye kioo naamini we ni mzuri tafta alietulia
 
Don't chase love, let love finds you....hii nayo ni ngumu hasa unapopenda usipopendwa aaarg...ukisema uuchune moyo kama wataka kupasuka hivi....
Pole mdau najua unavoumia!!!! Jikaze mwache aende!!!
 
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Tatizo wewe unajisumbua kumpenda wakati sio jukumu lako, sisi wanaume hatujuagi mambo hayo, sisi la muhimu kwetu sio kupendwa na wanawake bali mwanamke "kutii" tu, ukishamuonesha UTIIFU turn yake kwako ni kukupenda.
 
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Huyo kwa Avatar ni wewe?
 
Jaribu kunipenda mimi, najua hutajuta! Mwanamke una Masters yako na kazi so hupaswi kulia kwa sababu ya mwanaume mmoja! Mungu kawaumba wengi tena wa maumbo tofauti tofauti, ukizinguliwa na mmoja mkubalie mwingine.
Penda unapopendeka na upendo ukiisha penda kwingine!

Nimeipenda hii sentensi yako ya mwisho [emoji23]
 
Kama ukishindwa kabisa tafta boya wa kuzugia maana dawa ya moto ni moto..Yaani nawish ulete mrejesho hapa kwamba umemove on ntafurah sana coz hata mm nshapitia huko ila solution ilikua hii badae jamaa alivoona nimemove akaanza kurudi tena nkakataa
 
Back
Top Bottom