Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Jiulize huyo uliye naye ni mpenzi au bomu la machozi
 
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Sio kwamba sikupendi nakupenda ila na mimi kuna nimpendaye na yeye ananisumbua naomba univulimie ...
Pia sijapenda ulivyokuja kuomba ushauri huku..tatizo moyo una macho

C.c leahz
 
Hizo ndo gia zenu za kuingilia hata huyo mwanaume mwenzio alikuja hivyo hivyo
Sio lazima niwe mimi, wapo wanaume wengi sana... ni wewe tu kuchagua na uzuri una nafasi ya kuchagua mara nyingi kadiri uwezavyo
 
Back
Top Bottom