Kumpa mwanao jina la EX wako ni sawa?

Kumpa mwanao jina la EX wako ni sawa?

haa haa halafu best nlikuwa sijakuuliza umetupwa wapi mambo yetu yale...
mmmh ujue lazima nihoji kama jina ametoa yeye ikitokea sijagundua lazima kinuke !!!
 
Kama wa kiume shosti unampa MASANJAMAJEDE MNA MWABUZHO jina moja tu hilo la ex wako wa kisukuma pale Gamboshi!! Aha aha aha!
 
mkuu DEMBA, hilo jina la X wake ni la kikristo??

basi kama ndivyo, mbona haina shida, jina apewe tu mtoto!

ila sasa mwanaume ameharibu sehemu moja, kwanini amuambie mpenzi wake kuwa hilo ni jina la X wake?

kwani angempa jina tu at his own benefit bila kutangaza ingemuathiri nini?

as long ameshamwanga mchele kwenye kuku mkorofi, basi hawezi tena kuuzoa... aahirishe tu hilo jina kwa sababu naamini atakuja kumuathiri tu mtoto maisha yake yote! mama yake atajuta kumzaa kila siku..!
 
Last edited by a moderator:

shem ww huoni shida? sasa je ukijakugundua kwamba jina la mwanao ambalo amepewa na mamake ni la ex wake hutaona shida? duuuh unamoyo ww!!!
 
Kwani mtu hupewa jina kwa kuangalia maana ya jina au asili/historia/limetoka kwa nani!!?:shocked:
 
habari zenu wana jf, hope mko wazima kabisa kwa uwezo wa muumba.
leo nimepata kesi kutoka kwa rafiki yangu ambaye ni mjamzito. kama mnavyojua siku hizi, watoto majina wanapewa wakiwa bado tumboni. rafiki yangu na mume wake (ndoa yao bado ni changa sana) wameanza kushauriana kuhusu majina ya mtoto wao pindi atakapozaliwa. wameshachagua jina la kiume endapo mtoto atazaliwa wa kiume na wameshaafikiana.

sasa ishu imekuwa ngumu kama mtoto atazaliwa wa kike, jamaa kapendekeza jina na kudai hilo jina ni la rafiki yake wa kike wa siku nyingi na anamuheshimu sana...sasa best angu kakataa kwa madai kwamba hilo jina litakuwa ni mojawapo wa wanawake zake na amedai hawezi kuruhusu mwanae apewe jina la hawala wa mume wake.

sasa wapendwa naomba tujadili hapa je ni sahihi kumpa mwanao jina la ex wako? na je mwanamke ukigundua kwamba jina la mwanao ni jina la ex wa mumeo utajisikiaje na je wanaume ukigundua kwamba jina alilopewa mwanao ni jina la ex wa mkeo utafanyaje?
naomba kuwasilisha.

cc Munkari Chocs Malafyale Eiyer Excel Karucee Kaizer Ennie watu8 Heaven on Earth Lady doctor Mwanyasi valentine utafiti nameless girl mahondaw Daudi1 Dinazarde Zinduna na wengineo ............
Yes, hakuna ubaya wowote!.

Mimi mwenyewe Pasco wa jf, first born wangu, nimempa jina la ex wangu!.

Natoka kwenye typical African families, ya watoto 8, ukoo wetu ni ukoo masikini kwa baba na mama!. Wazazi wangu ndio wenye afadhali kiukoo, wamesoma na wote walikuwa waajiriwa wa serikali, hivyo karibu kila mtoto wa kiume aliyezaliwa kwetu ni kupewa jina la baba, karibu kila wa kike ni kupewa jina la mama!, na sisi watu wa kanda ya ziwa kwa misifa!, mzee akishapokea tuu taarifa fulani kapewa jina lako, basi lazima atajitutumua kutuma fungu la nguvu, hi ilipelekea majina hayo kufanywa dili, si unajua tena umasikini!.

Japo wazazi ni typical African familiy ila wasomi!, hivyo mimi my first girlfriend, ametinga home nikiwa form 3 Tambaza, ni kibinti fulani cha Zanaki. She was not only my 1st love, I was her first!. A level nilienda Ilboru, Binti akaunga Zanaki, tulipenda JKT, for no any apparent reasons, nikampiga chini!, si unajua utoto tena!. Baada ya JKT mimi nikajoin local collage, yeye akapata scholarship abroad and that was the end!. Nikiwa chuo nikammeet my future wife na tulipomaliza tuu chuo na ndoa juu!. Majina ya baba na mama kwetu yameishakuwa saturated!, nikimkumbuka my ex, she was very perfect na hakunikosea chochote!, nikajikuta nimetoa jina kwa my fisr born girl!.
Pasco.
 
shem ww huoni shida? sasa je ukijakugundua kwamba jina la mwanao ambalo amepewa na mamake ni la ex wake hutaona shida? duuuh unamoyo ww!!!

mwanaume ushindwe kujitetea kweli?

hata kusema ni majina yameingiliana kuna ubaya?!!

there are things are very hard to explain in life!... The Boss!
 
Last edited by a moderator:
Yes, hakuna ubaya wowote!.

Mimi mwenyewe Pasco wa jf, first born wangu, nimempa jina la ex wangu!.

Natoka kwenye typical African families, ya watoto 8, ukoo wetu ni ukoo masikini kwa baba na mama!. Wazazi wangu ndio wenye afadhali kiukoo, wamesoma na wote walikuwa waajiriwa wa serikali, hivyo karibu kila mtoto wa kiume aliyezaliwa kwetu ni kupewa jina la baba, karibu kila wa kike ni kupewa jina la mama!, na sisi watu wa kanda ya ziwa kwa misifa!, mzee akishapokea tuu taarifa fulani kapewa jina lako, basi lazima atajitutumua kutuma fungu la nguvu, hi ilipelekea majina hayo kufanywa dili, si unajua tena umasikini!.

Japo wazazi ni typical African familiy ila wasomi!, hivyo mimi my first girlfriend, ametinga home nikiwa form 3 Tambaza, ni kibinti fulani cha Zanaki. She was not only my 1st love, I was her first!. A level nilienda Ilboru, Binti akaunga Zanaki, tulipenda JKT, for no any apparent reasons, nikampiga chini!, si unajua utoto tena!. Baada ya JKT mimi nikajoin local collage, yeye akapata scholarship abroad and that was the end!. Nikiwa chuo nikammeet my future wife na tulipomaliza tuu chuo na ndoa juu!. Majina ya baba na mama kwetu yameishakuwa saturated!, nikimkumbuka my ex, she was very perfect na hakunikosea chochote!, nikajikuta nimetoa jina kwa my fisr born girl!.
Pasco.
hongera sana unaujasiri mkubwa, vipi mkeo anajua hilo? kama hajui ninauhakika akijua atajisikia vibaya sana......
 
Nafikiri si nzuri esp km hvo kabisa unasema eti ni la rafiki angu mwanamke flani namheshimu(wizi mtupu hapo)
ilaaaa niji-contradict and i must admit na me napenda sanaaa jina la my x mmoja ila kwa hubby sitakaa niseme abadani,ni vile tu ts biblical and has a very good meaning,na X mwenyewe ni a good man,nikijaliwa a son ntapenda nimuite hivo..
 
Utawajua tu team nanihiiii!

chagua moja mama!

kusuka ama kunyoa, kusema uongo ama ukweli, kuwa serious ama joker, kupenda ama kutopenda, kuwa mbumbumbu ama mwenye elimu...!

mimi nachagua kuwa srious liar..! uso mbuzi! sina mijadala isiyo na tija!

Last edited by a moderator:
chagua moja mama!

kusuka ama kunyoa, kusema uongo ama ukweli, kuwa serious ama joker, kupenda ama kutopenda, kuwa mbumbumbu ama mwenye elimu...!

mimi nachagua kuwa srious liar..! uso mbuzi! sina mijadala isiyo na tija!

team B oyeee
 
Last edited by a moderator:
hongera sana unaujasiri mkubwa, vipi mkeo anajua hilo? kama hajui ninauhakika akijua atajisikia vibaya sana......
Wife anajua, hata kabla yake kuwa na mimi, anamjua mtangulizi wake!.
Katika kuchagua jina, usichague tuu just a name, kwa kufuata jina, au jina unalompa mtoto ni jina la mzazi, ndugu, jamaa au ukoo, angalia the good will behind huyu mtu!, hivyo ukimp[a jina mwanao, ujue pia umemrithisha the good will ya mwenye jina!. Kama baba yako mzazi ni mlevi kupindukia, kumpa mwanao jina la baba yako, don't be surprised akitokea kuwa mlevi!. Nilimconsult wife huyo ex wangu ni nani, who she is a what she is!, and why, akakubali!. Pia unajua sisi wengine tukipendaga, hatupendagi tuu, tuna dondokea kabisa kabisa, hivyo anachopendekeza baba ndicho, mama hatii neno kwa sababu na yeye anakuwa amefika, amekwisha kwako!.
Pasco
 
Huyu juamaa ni moja ya watu wajinga niliopata kusoma habari zao.

Bora hata asinge toa sababu kama hiyo kwa mke wake na ange litetea hilo jina kwa jinsi nyingine lakini si hii.

Huyu jamaa ni mjinga sana na hana busara.

Kwangu mimi sioni kama ni jambo jema au la busara maana hii ni jinsi gani mtu hawezi songa mbele na bado ana tawaliwa na vimvuli vya mahusiano ya nyuma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom