Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Mkuu huyu jamaa ni mgonjwa kabisa.Niseme tu kuwa huyo jamaa hana maana hata kidogo na wala haijui thamani ya mke ni ipi
Hivi unaonaje kuwa ni sawa kumuita mtoto uliezaa na mke wako mpenzi na unamuita jina la hawara?
Eti unamuheshimu,Nyambaf kama unamheshimu kwanini hukumuoa?
Hakuna heshima iliyo kuu kama kumuoa mwanamke unaempenda,sasa huyo jamaa analeta hadithi za kijinga hapa
Hebu niishie hapa nisije nikaharibu mazingira!
team B oyeee
safi sana mke wangu... ila sharti awe wa kike tu!
akiwa wa kiume, hapo patachimbika shimo la ajabu...!
haa haa haa umeona eeh timu b @ work
Yes, hakuna ubaya wowote!.
Mimi mwenyewe Pasco wa jf, first born wangu, nimempa jina la ex wangu!.
Natoka kwenye typical African families, ya watoto 8, ukoo wetu ni ukoo masikini kwa baba na mama!. Wazazi wangu ndio wenye afadhali kiukoo, wamesoma na wote walikuwa waajiriwa wa serikali, hivyo karibu kila mtoto wa kiume aliyezaliwa kwetu ni kupewa jina la baba, karibu kila wa kike ni kupewa jina la mama!, na sisi watu wa kanda ya ziwa kwa misifa!, mzee akishapokea tuu taarifa fulani kapewa jina lako, basi lazima atajitutumua kutuma fungu la nguvu, hi ilipelekea majina hayo kufanywa dili, si unajua tena umasikini!.
Japo wazazi ni typical African familiy ila wasomi!, hivyo mimi my first girlfriend, ametinga home nikiwa form 3 Tambaza, ni kibinti fulani cha Zanaki. She was not only my 1st love, I was her first!. A level nilienda Ilboru, Binti akaunga Zanaki, tulipenda JKT, for no any apparent reasons, nikampiga chini!, si unajua utoto tena!. Baada ya JKT mimi nikajoin local collage, yeye akapata scholarship abroad and that was the end!. Nikiwa chuo nikammeet my future wife na tulipomaliza tuu chuo na ndoa juu!. Majina ya baba na mama kwetu yameishakuwa saturated!, nikimkumbuka my ex, she was very perfect na hakunikosea chochote!, nikajikuta nimetoa jina kwa my fisr born girl!.
Pasco.
chagua moja mama!
kusuka ama kunyoa, kusema uongo ama ukweli, kuwa serious ama joker, kupenda ama kutopenda, kuwa mbumbumbu ama mwenye elimu...!
mimi nachagua kuwa srious liar..! uso mbuzi! sina mijadala isiyo na tija!
miss neddy huoni kwamba mwenzio akijua ataona kwamba bado unamfeel huyo ex wako......yaani DEMBA mimi mwenyewe sioni tatizo kumuita mtoto jina la x kama mlikuwa mnapendana na hamkuachana kwa mabaya
miss neddy huoni kwamba mwenzio akijua ataona kwamba bado unamfeel huyo ex wako......
hapo kama sio understanding akijua tu andaa virago mapema coz atakuvurumusha uende kwa ex wako...hawa watu ubaya wafanye wao tukifanya sie ni uchuro...hapana kama mimi huyo ni mpenzi wangu wa kwanza namuheshimu sana nilimpenda sanaaaaaaaaaa safari yetu ya kimapenzi ilikuwa ni zaidi ya raha na hatukuachana kwa ubaya bali sababu zilikuwa nje ya uwezo wetu sioni ajabu kumpa jina hilo my son baba yake nitamtega kimaongezi nikiona sio muelewa nitamdanganya
hapo kama sio understanding akijua tu andaa virago mapema coz atakuvurumusha uende kwa ex wako...hawa watu ubaya wafanye wao tukifanya sie ni uchuro...
Aiseee naona kila jukwaa mna ligeuza la jokes.Ex kampa jina mtoto wa ex wake jina la ex wake mwingine...coz huyo ex alimpigia simu ex akamwambia atoe jina la mwanae mzaliwa!
Aiseee naona kila jukwaa mna ligeuza la jokes.
Hila uandishi wako una kera.
wtf...
huyo mume anatoa wapi hizo confidence hadi kusema????
yani nikigundua. . naenda kulifuta kwa msajili nyambafuu. Hapana leta uchuro nyumbani.
ahaaa kumbe mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu eeeh!!!!