Kumpa mwanao jina la EX wako ni sawa?

Kumpa mwanao jina la EX wako ni sawa?

Niseme tu kuwa huyo jamaa hana maana hata kidogo na wala haijui thamani ya mke ni ipi

Hivi unaonaje kuwa ni sawa kumuita mtoto uliezaa na mke wako mpenzi na unamuita jina la hawara?

Eti unamuheshimu,Nyambaf kama unamheshimu kwanini hukumuoa?

Hakuna heshima iliyo kuu kama kumuoa mwanamke unaempenda,sasa huyo jamaa analeta hadithi za kijinga hapa

Hebu niishie hapa nisije nikaharibu mazingira!

haya baba paroko mwambie Mwaluu aje hapa kwa nini anajifungia hivo
 
Last edited by a moderator:
Haaah! Sitaki kabisaaaaaaa huo mchezo x x tu alimuheshimu alifanyaje sitakiiiiii !! Majina kwenye bible yamejaa tele tena mazuri yenye baraka pia wazazi si wanamajina ?lah 2uunde yakwetu otherwise BIG NO !! kumpa mwanangu mjina wa x wake !!

best waweza fichwa ww wastukia mtoto yupo form one utafanyaje? utambadili ama?
 
DEMBA mpz uwahi kurudi kutoka huko kwa shogako leo ijumaa kesho kazi hamna u know..
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama ni busara kumpa mtoto jina la ex wako maana hakuna siri ya milele,unaweza ukasababisha mtoto akapewa jina jipya akiwa na miaka 6!!
Ila waumini wa hili mara nyingi ni wanaume,sijui ni kwa nini wanafanya hivi! Nimeshuhudia mwanaume amempa jina la mkewe mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa na nyumba ndogo!!!
si ndio hapo sasa naposhindwa kuwaelewa hawa wanaume jaman. halafu eti anasema kabisa ni rafiki yangu wa siku nyingi....yaan waweza tamani uvunje ndoa hivi hivi tena....
 
Asante kwa kunialika katika ukumbi huu,kwanza kabisa hata mkiwa na mpenzi wako kumtaja x tu ni dhambi kubwa sana sembuse kumpa mtoto jina la x,nakumbuka nilikuwa na mwanamke mmoja ambaye alikuwa mpenzi wangu miaka ya nyuma tukiwa kunako dimba la chamazi ulimi ukateleza baada ya kunogewa na utamu nikamtaja x mihemko na utamu wote na baby zote ziliishia hapo mpaka nikajuta aisee maana yake inakuwa ni nini kwamba bado mapenzi yapo kwa yule wa mwanzo hakuna cha kumuheshimu wala nini jibu tena kwa herufi kubwa haifai na haipendeziiiiiiiii! over

sasa unakuta mtu anasema eti si jina tu halimaanishi chochote..
 
Shem kwanza asante kwa kuniita. Kumpa mtoto jina la X wako si busara sana na utaonyesha ni jinsi gani bado unamkumbuka na hutaki kumsahau, hapo si ndio migogoro inaanza?

mbaya kweli shemu hili baadhi ya nyinyi wanaume wanalifanya sana tu.....sasa shem ungikuwa ni ww unagundua na mtoto ameshakuwa mkubwa utafanyaje utamkana mtoto ama
 
Basi inabidi kuridhiana akizaliwa wa kike apewe jina na mama, akiwa wa kiume anapewa jina na baba ili kuepusha mambo hayo kutokea.

haa haa haa hii itakuwa utata hasa shuleni...utakuta watu wanaoitwa john john watatu....
 
si ndio hapo sasa naposhindwa kuwaelewa hawa wanaume jaman. halafu eti anasema kabisa ni rafiki yangu wa siku nyingi....yaan waweza tamani uvunje ndoa hivi hivi tena....

Wanakera kwa kweli.
Ni kama unamwambia mkeo kuwa ex ana nafasi kubwa sana kwako na utamkumbuka milele!!
 
Binafsi siwezi kukubali swala hilo...kwani majina yameisha?!
 
haa haa haa ukisha kuwa wa ex unakuwa mjina mbaya hata kuutamka.. Munkari bana

ndo hivyo aisee ! Yani umpe mwanangu kipenzi mjina wa mwanamke wako wa zamani aaagh ! Haikubaliki !!
 
Last edited by a moderator:
mbaya kweli shemu hili baadhi ya nyinyi wanaume wanalifanya sana tu.....sasa shem ungikuwa ni ww unagundua na mtoto ameshakuwa mkubwa utafanyaje utamkana mtoto ama

Hapana siwezi kumkana shem, ni mtoto wangu, ni damu yangu ila inabidi uwe makini na wajina wa mtoto wako
 
best waweza fichwa ww wastukia mtoto yupo form one utafanyaje? utambadili ama?

mmmh ujue lazima nihoji kama jina ametoa yeye ikitokea sijagundua lazima kinuke !!!
 
Mkuu hebu mrudishe Donie Yuen bana!!!!!!!!!!!!!

images
images
images

Hahahahaa sawa mkuu nitamrudisha
 
sasa unakuta mtu anasema eti si jina tu halimaanishi chochote..
Kama ni jina tu kwa nini asingemuita la mama yake angalau ingesound lakini kwa ex hata ukiwafuma wanakumbushia wanaweza wakakugeuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom