Shem kwanza asante kwa kuniita. Kumpa mtoto jina la X wako si busara sana na utaonyesha ni jinsi gani bado unamkumbuka na hutaki kumsahau, hapo si ndio migogoro inaanza?
Aiseee naona kila jukwaa mna ligeuza la jokes.
Hila uandishi wako una kera.
huyo ex aliyepiga sim apewe jina ni me au ke?
Mm sina makuu!Ukimpa mtoto jina la X na baadae nikigundua kuwa dhamira yako ni kumkumbuka X wako wkt tunamuita mtoto huyu basi nakuachia huyo mtoto awe wako na huyo X wako!
Ukienda job au sokoni siku hiyo ukirudi home hunikuti tena nahama kwako/kwetu ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye mawazo kama haya!
Naloli...!Mm sina makuu!Ukimpa mtoto jina la X na baadae nikigundua kuwa dhamira yako ni kumkumbuka X wako wkt tunamuita mtoto huyu basi nakuachia huyo mtoto awe wako na huyo X wako!
Ukienda job au sokoni siku hiyo ukirudi home hunikuti tena nahama kwako/kwetu ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye mawazo kama haya!
Logic...!sasa ukifanya hivyo utakuwa unamuadhibu mtoto kwa makosa aliyofanya mama yake jambo ambalo si busara kumbuka kwamba hilo jina hakujipa yeye....kwanini utelekeze mtoto pia?
duuuh too bad..huyo mwanamke aliyeingia labour akijua jina la mwanawe ni la mume wa ex wa mumewe anaweza kufa kwa maumivu ya moyo..This is not a joke mkuu!
Iko hivi:
Assume wewe ulikuwa the first man kwa DEMBA mfano...alafu mkaja kuachana then DEMBA akawa wangu alafu na mimi nikamuacha, finally akaolewa na Kiranga.
Sasa wewe the first man kwa DEMBA unampigia simu DEMBA atoe jina la mwanao wa kiume...ndo anaamua kumpa jina langu. Huu ndo mfano wa nilichokiandika.
Got me?
duuuh too bad..huyo mwanamke aliyeingia labour akijua jina la mwanawe ni la mume wa ex wa mumewe anaweza kufa kwa maumivu ya moyo..
Kuna sababu nyingi tu, zinazompelekea mtu kumuita mwanae jina fulani.
ukweli nyuma ya ma-ex, si wote waliachana kwa kukoseana.
Ukweli nyuma ya ndoa, sio wote wanaoana kwa sababu wanawapenda sana wenza wao kuliko waliowapenda kabla.
Ukweli mwingine, kuna vitu ambavyo wapenzi huendelea kuvithamini hata baada ya kuachana, kama ahadi n.k.
Wakati mwingine ma-ex wana sifa ambazo tunatamani zionekane kwa watoto wetu.
Mengine ni fantasy
mbn ktk cc mm hujaniweka?