Kumpa mwanao jina la EX wako ni sawa?

Kumpa mwanao jina la EX wako ni sawa?

basi ili kuepuka kuitana majina ya ma x ni bora akizaliwa wa kiume baba ndo amchagulie jina, na akizaliwa wa kike mama ndo amchagulie jina
 
Haaah! Sitaki kabisaaaaaaa huo mchezo x x tu alimuheshimu alifanyaje sitakiiiiii !! Majina kwenye bible yamejaa tele tena mazuri yenye baraka pia wazazi si wanamajina ?lah 2uunde yakwetu otherwise BIG NO !! kumpa mwanangu mjina wa x wake !!


me too ni NO NON NOOOOOOOOOOO!!!!!!!
 
Mhhhhhhh... ni sawa na mume kumpa mtoto jina la x wake... honestly, ningejisikia vibaya... so siwezi kufanya hiyo kitu aisee....
 
Heee nimechelewa namna hii; DEMBA hilo ni kosa kubwa sana kalifanya kwenye mahusiano yao;
Kwanza kamdharau/kamvunjia heshima mkewe, pia anaonseha kuwa yule gf wake ndiye yuko moyoni zaidi.
This is not fair at alll!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom