Noname
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 1,269
- 28
hhehe afya ya watoto lol....Bado hatujachelewa...........
Mi kesi za unyumba kusuluhishwa kanisani ni mwiko. Yaani nimpelekee padre/mchungaji mke wangu anisaidie kummega? Mi kama tumeshindwana, kila mtu achukue hamsini zake. We kamegwe huko nami nikamege huko, tukikutana tukaamua kukumbushiana kwa ajili ya afya ya watoto wetu, poa tu. Ukiamua kurudi baada ya kunogewa tena, poa tu. Msimamo ni uleule: MWANAUME HAKUUMBWA KWA AJILI YA MWANAMKE MMOJA!!!!!!!!!!!!!!!!
kwahiyo kumbe mnaenda nje mnaogopa kufa