Kumnyima mume unyumba ni kumuua?

Bado hatujachelewa...........

Mi kesi za unyumba kusuluhishwa kanisani ni mwiko. Yaani nimpelekee padre/mchungaji mke wangu anisaidie kummega? Mi kama tumeshindwana, kila mtu achukue hamsini zake. We kamegwe huko nami nikamege huko, tukikutana tukaamua kukumbushiana kwa ajili ya afya ya watoto wetu, poa tu. Ukiamua kurudi baada ya kunogewa tena, poa tu. Msimamo ni uleule: MWANAUME HAKUUMBWA KWA AJILI YA MWANAMKE MMOJA!!!!!!!!!!!!!!!!
hhehe afya ya watoto lol....

kwahiyo kumbe mnaenda nje mnaogopa kufa
 
Nyamayao sasa likizo unampa ya siku ngapi? nakuona mkali wewe...

mhh mie sio mkali kihivyo noname, lakini napenda twende sawa, inategemeana na yeye atakavyoona/kubali kosa lake, nikupe mfano tu lim2 limetoka hme vizuri umeliandaa vizuri jioni linakujia na cjui lipstick kwenye shati, halafu tena nikae roho juu kusema ooha nikimbania ataenda nje...afike salama mpaka atakapojickia kunyoosha maelezo...huo ni mfano tu.
 
mwanamke cku hizi hutakiwi kulianzisha, unaharibu mazima yeye ndio alianzishe.......

Ni mbinu mpya ya kutaka talaka au? Yaani unamnyima halafu unaanza kumvizia na kumwekea wapelelezi ili umfumanie! Ingekuwa mie nikitendewa hivyo sitafanya kwa siri, na mtu akitaka kuishia aishie tu babake! Kama noma na iwe noma.
 
....watafute kitu unique sio hiyo inanunuliwa kwa kina hao Eliza kwa shs 5000...

Kwa kina Eliza unapata huduma nzuri kutokana na urefu wa kamba yako.
Alafu kule vile vile unapata huduma muhimu ambazo ww nyumbani katu hutoweza nipa ni sehemu 1 tu naweza pata.
Mambo ya express your self.
 
kuna frnd wa mr tulicmamia haruc yake, juzi mkewe kanical analiaa weee, kulikoni? ananiambia alimpa mr kila kitu kutoka mwilini mwake lakini kaja kujua mr ana mwanamke ana mimba nje, na kamuuliza mr, mr kakubali ni kweli ana mwanamke mwenye mimba, nikamuuliza kila kitu umempa kivipi? akaniambia hicho kitu, kidogo nipige yowe kwenye cmu, yaani cjui nani kawaambia wadada wakitoa hiyo ndio wanaume cjui watawapenda/watatulia yaani cjui kabisa....cjui kwa kweli....watafute kitu unique sio hiyo inanunuliwa kwa kina hao Eliza kwa shs 5000...

See!!! hao ndo wanaume sasa!!!!

sasa hapo ndo unajuta mara kumi elfu....OMG!!!!!!!! pole yake huyo dada!!! wenzio hiyo hata kwa mkopo kam sio bure wanapewa sasa!!!
 
Hahahaha unaona shem ni mpole sana ndo maana unamkalia mkichwa.
Mind you watu wapole ni wabaya wanaua kimya kimya na hugundui hivi una hausi geli hapo kwako?

hana upole wowote, ishu ni kwamba tumekutana vichaa wawili, bac maisha yanasonga.....
 
mwanamke cku hizi hutakiwi kulianzisha, unaharibu mazima yeye ndio alianzishe.......

Ni mbinu mpya ya kutaka talaka au? Yaani unamnyima halafu unaanza kumvizia na kumwekea wapelelezi ili umfumanie! Ingekuwa mie nikitendewa hivyo sitafanya kwa siri, na mtu akitaka kuishia aishie tu babake! Kama noma na iwe noma.
 
Tena hawa wanaojifanya wakali ndio wanaibiwa kinoma.

chris, cmchungi, cfungii nanilii yake kabatini asubuhi aondokapo...so kama kufanya labda anafanya na sisemi naibiwa na mtu bali yeye ndio ananiibia, na huko kuniibia cpajali mpaka nitakapomfuma.....yaani nikae niwaze naibiwa?...gosh nina mabo mengi ya kufanya sio kumwaza mtu na meno yake 32.....
 
Ni mbinu mpya ya kutaka talaka au? Yaani unamnyima halafu unaanza kumvizia na kumwekea wapelelezi ili umfumanie! Ingekuwa mie nikitendewa hivyo sitafanya kwa siri, na mtu akitaka kuishia aishie tu babake! Kama noma na iwe noma.

wapi pameongelewa kumwekea mtego, hu muda ninao bac...kuna njia/mambo mengi ya kujua rafu zinazoendelea.
 
Kama ndo hivyo mnazidiana wewe ndo unaongoza umemfunika yeye.
Hujui kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja!


haaa huyu kichaa wangu nikimpa bht leo kesho asubuhi atamrudisha, tunawezana wenyewe na ndio mana tupo mpaka leo hii mapenzi yapo na cku zinasonga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom