Kumnyima mume unyumba ni kumuua?

wanaume waaminifu ni wachache sana tena sana na kuna dalili kukawa hakuna mwaminifu baada ya muda mfupi, ndio mana wengine hatufikirii hayo bali heshima yake inahitajika sana tena sana...mengineyo Mungu anajua.

Lakini Nyamayao unasahau 'it takes two to tango', ili mwanaume afanikishe kukosa uaminifu lazima apate mwanamke wa kushirikiana naye. Kwa hiyo unamaanisha hakuna binadamu mwaminifu?
 
Afadhali sasa unaanza kufunguka!

Wanaume wote, akiwemo mumeo si waaminifu. Hiyo itasimama mpaka mwisho wa dahari!!!!!!

Kama hii ni kweli, huo uzinzi wanafanya na mambweha au binadamu wenzao wa kike? Uaminifu wa wanawake mbona hauulizwi hapo? Maana nina uhakika wanawake wangekuwa waaminifu basi hata wanaume wasingepata mtu wa ku-cheat naye.
 
tabu yangu me na we tunapendana lakini tukianzaga kubishana bac hakuna maelezo...ngoja nikukubalie tu.
 
Lakini Nyamayao unasahau 'it takes two to tango', ili mwanaume afanikishe kukosa uaminifu lazima apate mwanamke wa kushirikiana naye. Kwa hiyo unamaanisha hakuna binadamu mwaminifu?

akija kwangu akiniambia hajaona na lipete lake kaliweka mfukoni, nani atalaumiwa hapo?
 
tabu yangu me na we tunapendana lakini tukianzaga kubishana bac hakuna maelezo...ngoja nikukubalie tu.

Nikubalie kwenye hoja tu basi........... Nimesoma katikati ya mistari hapo ujue.. Hahahaha!
 
akija kwangu akiniambia hajaona na lipete lake kaliweka mfukoni, nani atalaumiwa hapo?

mara nyingi kwa msichana kutokea kutembea na mume wa mtu anakuw akadanganywa kwa style hiyo hapo.

sasa hapo kweli unataka kusema kosa la mume wangu kutembea nje ni sawa na kosa l ahuyo binti kudanganywa na mume wangu kuwa yeye singo na yeye akaingia mkenge?

mtu B hapo bado.........
 
Kama hii ni kweli, huo uzinzi wanafanya na mambweha au binadamu wenzao wa kike? Uaminifu wa wanawake mbona hauulizwi hapo? Maana nina uhakika wanawake wangekuwa waaminifu basi hata wanaume wasingepata mtu wa ku-cheat naye.

Aaaa: Mbona simple?
Kwanza wanawake ni wengi kuliko wanaume..... hilo halina ubishi siyo?
Pili kuna baadhi ya wanawake mashujaa ambao wanatoa huduma kwa wanaume zaidi ya watatu kwa wiki....... hilo nadhani pia halina ubishi, sawa?
Ukichanganya moja na mbili utakuta wanaume wote si waaminifu lakini kuna wanawake wachache kama alivyokuwa bikira Maria ni waaminifu mpaka mwisho wa dahari.... Need I say More?
 
Hiyo ya idadi ya wanawake kuwa wengi siikubali kwani hata data za census zinaonesha gap kati ya wanawake na wanaume ni kama 1% hivi, yaani ni almost nusu kwa nusu. Na kuhusu wanawake wanaogawa kwa wanaume wengi, ni kuwa hulka ya kutembeza dudu iko jinsia zote, wapo pia wanaume wanaomega wanawake wengi kwa hiyo effect inajimaliza yenyewe. Hivi hata tukiondoa kundi la watembeza dudu (wa kike na kiume), katika hao wanaobaki bado hakuna waaminifu?
 
huo mfano nimeutoka kwa mdada aliepo cngle.

Kumbe wadada walioko single wanapatikana kirahisi hivyo, kwa kuficha tu lipete mfukoni? Basi hao ndio wanaotuletea balaa hili. Yaani mtu asipoona pete tu kishakubali kumegwa, hahitaji kujua background zaidi? Basi hao ni hawana tofauti na wale mademu wa viwanja. Tuzumgumzie msichana single asiye na mapepe ya kihivyo, anaweza kukubali kimego easy hivyo? Na huyo akiolewa itakuwaje kama siyo yaleyale ya 'kunguru hafugiki'?
 
Aaa bana, sina data zaidi.

Ngoja niendelee na imani yangu kuwa watembeza dudu nambari wani ni wanaume. Wanawake watembeza dudu ni wachache ambao kujulikana ni rahisi sana............
 
Aaaa: Mbona simple?
Kwanza wanawake ni wengi kuliko wanaume..... hilo halina ubishi siyo?
Pili kuna baadhi ya wanawake mashujaa ambao wanatoa huduma kwa wanaume zaidi ya watatu kwa wiki....... hilo nadhani pia halina ubishi, sawa?
Ukichanganya moja na mbili utakuta wanaume wote si waaminifu lakini kuna wanawake wachache kama alivyokuwa bikira Maria ni waaminifu mpaka mwisho wa dahari.... Need I say More?
conffession hii naogopa hata kuitumia kwa pilato uwiiiiii!!!!!

but I have seen the button today and am making a gud use of that!!
 
Mamushka umeanza kuchat na invizibo? Imekuwaje leo kakupa access ya hako kakitu for free?
 
Kumbe wadada walioko single wanapatikana kirahisi hivyo, kwa kuficha tu lipete mfukoni? Basi hao ndio wanaotuletea balaa hili. Yaani mtu asipoona pete tu kishakubali kumegwa, hahitaji kujua background zaidi? Basi hao ni hawana tofauti na wale mademu wa viwanja. Tuzumgumzie msichana single asiye na mapepe ya kihivyo, anaweza kukubali kimego easy hivyo? Na huyo akiolewa itakuwaje kama siyo yaleyale ya 'kunguru hafugiki'?

so very wrong my dear!!!
hivi unafikir kuna mtu anataka kutoka na mwanaume bila future expections like buliding a family together? (ni wachache sana) sasa ukitoka na mume inakuwaje.......

sio kweli kuwa wasichana single ni easy go, but ukiwa single si ni kuwa hujapata na una wish pengine na wewe uwe namwenza? unakuja unanidanganya hujaoa n may be am interested in u si ndo naingia mkenge hapo? whose fault.....?
 
heee m2 b hebu cheza na me kwa step....cjamaanisha kwamba ndio warahic/wanafanya kirahic, kuna waume za watu wanatongoza hata mwaka bila ya mhucka kujua kama huyu m2 kaoa, na mdada hawezi kulaumiwa kwenye ctuation kama hii....kama kasheshe limekupata wakulaumiwa hapa sio huyo cngle kabana na mr wako tu.
 
so very wrong my dear!!!
hivi unafikir kuna mtu anataka kutoka na mwanaume bila future expections like buliding a family together? (ni wachache sana) sasa ukitoka na mume inakuwaje.......

sio kweli kuwa wasichana single ni easy go, but ukiwa single si ni kuwa hujapata na una wish pengine na wewe uwe namwenza? unakuja unanidanganya hujaoa n may be am interested in u si ndo naingia mkenge hapo? whose fault.....?

afadhali umenisaidia kumfafanulia.....
 
Back
Top Bottom