Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Wazee wa kugugo Diagnosis na kusoma prescription kwenye vitabu.Nakuunga mkono watu wanaoapaswa kulipwa hela na posho za kutosha ni manesi..mana waaanza na mgonjwa mpaka anapotoka either mzima au amefariki..co wazee wa kuguugo diagnosis na treatment hata laki 6 wanapendelewa sana.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila Diagnosis ni UTI 🤣🤣🤣
Hawa watu bana.
Nurses wanakomaa na Labour, RCH, CTC, Triage
Vituo visipokuwa na pharmacist wao ndio wanakaa kubabakee,🤣
Halafu kinatokea ki-CO kimoja na shule yake ya Tandabui kinaona mshahara hautoshi🤣