Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,056
Utaweza vpi kujua bikra feki???¿???
Bora tu uingizwe mjini uchangamke make unaonekana ni mgoloko mgoloko



!! Asante kwa msaada wako maana hapa nilikuwa natafuta jina la kumpa nakosaUnanikoshaga kweli. Nimecheka mpaka sina mbavu! Mgoloko yukoje Evelyn Salt.Bora tu uingizwe mjini uchangamke make unaonekana ni mgoloko mgoloko
Comments zako huwa zinanipa raha sana kiasi cha kutamani nikuone live. Huwa ziko short zilizobeba ujumbe mzito kweli!. Big up!Bora tu uingizwe mjini uchangamke make unaonekana ni mgoloko mgoloko
Ni ngumu kujua kwa macho au hata kwa kupapasa kama ilivyo ngumu kumjua mwanaume bikra






Wengi wao wameshafanya hii kituMbona wadada mnakasirikia sana hii post, kwani ina shida gani?
anza kujitafakari kwanza weewe hujawahi kumpa mwanamke mimba ukamkana ukisha fanya hivyo ndo utafute ambaye hajawah=i kutoahivi ni njia gani unaweza kutumia ili kumtambua mchumba unayetaka kumuowa kama alishawahi kutoa mimba kabla ya kukutana na wewe...?