Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
A
Wewe umeshajitibu?
Nikijua napata pa kuanzia tatizo la uzazi likitokea
Wewe umeshajitibu?
Nikijua napata pa kuanzia tatizo la uzazi likitokea
Hahahahha!! Ni nouma sanaUkitaka kumjua chukua pipi kijiti big boom mpe ale kabla hamjaanza kufanya mapenzi ukiona anamaliza ujue huyo ameshawahi kutoa.au mnunulie chips yai na fursana baridii akimaliza ujue tayari amesha wahi kutoa.
Ukiwa unanyonya matiti yake, yanatoa maziwa maziwa meupe.
Ndugu wanajamii forum,naomba kufahamu utamjuaje mwanamke aliewahi kutoa mimba zaidi ya miaka mitano au zaidi iliyopita,yaani kama aliwahi kutoa kwa muda huo halafu wewe unataka kufahamu kwa kipindi hiki
Siku hizi kuna vidonge flani vinaitwa Mistroprostol, ni maarufu saana kwa utoaji mimba. Mimba ambayo haizidi miezi 3 ukipata vidonge hivi ni mauji tosha (Sikushauri uue, nipo hapa kutoa maoni yangu).
Endapo Mwanamke atatoa mimba kutumia hivyo vidonge ni ngumu saana kumtambua ila waweza mtambua endapo wakati wa utoaji unaendelea. Unaweza ukagundua kama unaishi nae ama upo nae karibu sana, zifuatazo ni dalili zake za kumtambua kama ametoa mimba endapo upo nae karibu sana :---
1. Atakuwa anableed kwa wiki mbili mfululizo, hii inatokana na ukubwa wa mimba.
2. Damu atakayokuwa anableed ni nzito na nyeusi, endapo umefika ule wakati wa utoaji kabisa basi katika ile damu kutakuwa na nyamanyama kwa mbali mfano wa maini.
3. Mzunguko wale kubadilika kabisa.
4. Mtu aliyetoa mimba kutumia vidonge hivi huwa uzazi wake upo karibu sana kudaka mimba nyingine kuliko hali yake ya kwanza kabla hajatoa mimba.
5. Akimaliza kubleed, siku nyingine anaweza akakaa na ghafla damu ikamvuja kwa masaa kadhaa, hii itatokea ndani ya mwezi mmoja tangu atoe mimba.
Mbali na hapo kwa maelezo niliyoyatoa, endapo hauishi nae karibu huwezi tambua kabisa kama mwanamke ametoa mimba, labda kwa kwenda Hospitali, bila shaka wao watatambua kama mwanamke ametoa mimba. Na hapo nimetoa maelezo kwa mwanamke aliyetoa mimba kupitia vidonge vya Mistroprostol tuu!
Dooh, umesoma kwa makini upande wa juu!?Mkuu naona umekuja kuongezea watu ufanisi wa utoaji mimba hapa!
Dooh, umesoma kwa makini upande wa juu!?
Harafu Mkuu mimi nilisema kuwa sishauri mtu atoe mimba na kwa kuwa mleta mada kishasoma ujumbe ngoja mimi niufute.Mkuu nimesoma vizuri, kwa ulivyo fafanua unaweza ukawa umewapa urahisi watoaji pia.
Ndiyo maana yangu.
Otherwise swali umelijibu ipasavyo.
Harafu Mkuu mimi nilisema kuwa sishauri mtu atoe mimba na kwa kuwa mleta mada kishasoma ujumbe ngoja mimi niufute.
Kitu ninachofahamu ni kwamba wasichana wengi sana Mkuu wanatoa mimba pasipo wazazi kujua.
Mi nishafuta ile post, na wewe naomba ufute ile reply yako Mkuu!Malezi ni kazi sana mkuu, ni swala la kumwomba Mungu sana.
Ndugu wanajamiiForums,
Naomba kufahamu utamjuaje mwanamke aliewahi kutoa mimba zaidi ya miaka mitano au zaidi iliyopita,yaani kama aliwahi kutoa kwa muda huo halafu wewe unataka kufahamu kwa kipindi hiki.
mimba ya mwezi mmoja tumbo linafanyaje?! wala hivi si vigezo aisee huwezi juaaaaaaaTumbo lake na matiti yake