Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

Bonyeza nyota mia moja hamsini na mbili nyota sabini na tano alama ya reli itakupa option ya kuangalia kama ametoa mimba.
 
Musaria Mwanza
Member
#1
Today at 5:28 AM
Ndugu wanajamii
forum,naomba
kufahamu
utamjuaje
mwanamke
aliewahi kutoa
mimba zaidi ya
miaka mitano au
zaidi
iliyopita,yaani
kama aliwahi
kutoa kwa muda
huo halafu wewe
unataka kufahamu
kwa kipindi hiki

Musaria Mwanza
Member
#1
Today at 5:28 AM
Ndugu wanajamii
forum,naomba
kufahamu
utamjuaje
mwanamke
aliewahi kutoa
mimba zaidi ya
miaka mitano au
zaidi
iliyopita,yaani
kama aliwahi
kutoa kwa muda
huo halafu wewe
unataka kufahamu
kwa kipindi hiki

NOI NOI
Member
#7
Today at 6:14 AM
Nikijua napata pa
kuanzia tatizo la
uzazi likitokea
NOI NOI
Member
#13
Today at 6:43 AM
Poa kwa
instructions
 
Asante 0716 kwa ushauri na wengine wenu kwa ujumla,nimeshapata mwanga wa nilichokuwa natafuta
 
Huwezi
Wengine Hata Mfano Mwezi Uliopita Hutaweza Nadhani Vipimo Siyo Kwa Kwa Kumtaza Tu Wengine Matiti Huwa Saa Sita
 
We unataka kujua utamtambua vp aliewahi kutoa Mimba na hao mabinti nao wanataka kujua utàmtambuaje aliewahi kakataa mimba ya Msichana
 
Ha ha ha mkuu iloo swala achana nalo fuata yako utaumiza kichwa tu wasichana wa sasa hivi ni hatari hivyo wala usihangaike wewe ukimpata assume hajawahi toa mimba maisha yaendelee
 
Mimba yako au ya mtu mwingine? Ujue ili iweje?
Wewe ume kataa mimba ngapi mpaka sasa?
Ukikuta ana mtoto huta taka kulea mwana wa mwenzio, bora wazitoe tu kuliko kuharibu future zao.
 
Swali kwako kwanza"Utamtambuaje mwanaume aliyekataa mimba" Ukinipa jibu sahihi nakupa mbinu..
Ndugu wanajamiiForums,

Naomba kufahamu utamjuaje mwanamke aliewahi kutoa mimba zaidi ya miaka mitano au zaidi iliyopita,yaani kama aliwahi kutoa kwa muda huo halafu wewe unataka kufahamu kwa kipindi hiki.
 
Kuna wanawake wana watoto wawili huwez kuwajua sembuse mimba? We kanyaga tu bana hakuna namna .

Duc in Altum
 
mi sina kigezo chochote kwa mwanamke aliye tayari anmfate pm tafadhali
 
Hivi jamani huu uzi umedhibitishwa na TBS kweli
 
Back
Top Bottom