KUJUA MWANAMKE ALIYETOA MIMBA:
UNAANGALIA WEUSI WA ENEO KUZUNGUKA CHUCHU(AREOLAR) SEHEMU HII HUWA YA PINK KAMA AU WEUSI USIO MKALI LAKIN AKIZAA AU KUPATA MIMBA NQ KUTOA SEHEMU HIYO HUWA NYEUSI ZAIDIIIII!!!!!!NA KUWA NA KM VIPELE FULANI.
PIA MSTARI MWEUSI SEHEMU YA TUMBO CHINI YA KITOVU KUONEKANA ZAIDI MWEUSI::!!
sio medically tu hata physically......medically speaking wewe ni Muongo! period !
Flora Mimi nakusoma tu humu ukionyesha kujua sana timbwili home...mimba ya mwezi mmoja tumbo linafanyaje?! wala hivi si vigezo aisee huwezi juaaaaaaa
heeeeeee wacha kuniogopesha bhanaaFlora Mimi nakusoma tu humu ukionyesha kujua sana timbwili home...
hahahaha...Shauri yako....heeeeeee wacha kuniogopesha bhanaa
Ukiwa unanyonya matiti yake, yanatoa maziwa maziwa meupe.
basi usije nitoa mwanya Buree!!!!!!!.hahahaha...Shauri yako....
Ninachoshukru unabusara ndiyo maana sijari ulitoa ama hukutoa....hahahahabasi usije nitoa mwanya Buree!!!!!!!.
siongei tena mchumba
nenda kwa mgangaNdugu wanajamii forum,naomba kufahamu utamjuaje mwanamke aliewahi kutoa mimba zaidi ya miaka mitano au zaidi iliyopita,yaani kama aliwahi kutoa kwa muda huo halafu wewe unataka kufahamu kwa kipindi hiki