Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

Kaboom sio Mimi hapo juu,Noi Noi kajibu tu kama ndio Mimi ila sio Mimi,nina ID moja tu hii nayotumia
 
Cjui itakusaidia nin? Bora swali lako likaulizwa kujua mwanamke mwenye bikra yakweli...sasa kama umemkuta hana bikra na unauliza kutoa mimba hii akili yawapi mkuu.kumkuta tuu hana bikra tayari ushaingizwa mkenge
 
Hivi tukujiuliza haya ni wangapi hawataolewa?

Bado wana nafasi...Have mercy on them
 
Ni ngumu kujua kwa macho au hata kwa kupapasa kama ilivyo ngumu kumjua mwanaume bikra
 
nenda nae hosptal itafahamika tu bila hivo utainguzwa choo cha kike.

lkn unataka kuoa auunataka kuchezea tu?
muoaji angekuja hapa mkuu huyo anataka kusummarize tu sio kuwekeza
 
Back
Top Bottom