Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,797
Ukimchunguza kuku hutamla.
Huna ndoa labda umwoe mama yako "una tabia mbayaa"
mmmh... Mbona mama tena
Ukimchunguza kuku hutamla.
Huna ndoa labda umwoe mama yako "una tabia mbayaa"
nmekumiss....Hamna ambae bado
Mim sidhan kama unaweza kujua may be vipimo vya xtray..ni mtazamo wangu kwan wengine hata ya week mbili wanatoa..na atakuwa tu wa kawaida..Wengine wanatokwa na maji meupe tu kwenye maziwa...Au tukaulize jukwaa la Afya tunaweza pata majibu ya wataalamuMchoraji umenielewa swali langu? ukinyonya maziwa yatatoa maziwa hata kama alitoa mimba miaka sita iliyopita?
Mkuu ungeenda na mkate kabisa ushibeAlaah kumbe!!!!!!!!!!
Kuna m1 nilikuwa najiuliza what is wrong with her!!!!!!!
Ndugu wanajamii forum,naomba kufahamu utamjuaje mwanamke aliewahi kutoa mimba zaidi ya miaka mitano au zaidi iliyopita,yaani kama aliwahi kutoa kwa muda huo halafu wewe unataka kufahamu kwa kipindi hiki
Ni rahisi tu unamuuliza baass