Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

achana na TEKNO mtu wa kumwonea huruma ni yule anayetumia ITEL
hawa watu wanahitaji msaada wa maombi
Umenikumbusha kuna dogo anayo kwanza network shida hapahapa bongo, alienda mkoani kijijini kwao alisahau social media
 
Sisi watumiaji wa iPhone hii kama aituhusu [emoji23][emoji23]
 
Kuna rafiki yangu amenipigia simu ananiambia shunie samahani hii simu imejipiga yaani nikiwa naongea na mtu kwenye simu inajipiga simu nyingine

Shikamooni wenye tecno
Acha uongo rafiki yangu
 
Umenikumbusha kuna dogo anayo kwanza network shida hapahapa bongo, alienda mkoani kijijini kwao alisahau social media
simu ya itel muda wote imenuna tu,ila bado kuna watu wanadunda mtaani confidently na vi itel vyao
 
Kuna rafiki yangu amenipigia simu ananiambia shunie samahani hii simu imejipiga yaani nikiwa naongea na mtu kwenye simu inajipiga simu nyingine

Shikamooni wenye tecno

[emoji23][emoji23]kumbe inasaidia majukumu hadi ya kuwachagua wateja wa kuwapigia. Wacha nikanunue moja
 
C9 nadunda nayo sasa inaelekea miaka miwili. Kwa kweli nawashukuru wenye Tecno. No wonder ndiyo wana market shere kubwa Africa...!
 
- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe!

- Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii!

- Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe!

- Unasave namba ya mtu, siku unakuta mara imepotea.

- Muziki wake utadhani una suboufer!

- Mafundi wake na spare zake vimejaa kedekede kila kona!

- Zinatuunganisha haswa, kila unayekutana nae anayo!

Hongera TECNO.
😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom