Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Sumsung J7 pro imekaa vizuri, hii unaweza kuipata kwa kwa laki tano.
Yani hii simu nimeitumia tangu imetoka mwaka jana mpaka leo ipo kama mpya. Battery efficiency haijawahi kushuka. Kwenye J7 pro samsung walifanya upgrades nzuri
 
Yani hii simu nimeitumia tangu imetoka mwaka jana mpaka leo ipo kama mpya. Battery efficiency haijawahi kushuka. Kwenye J7 pro samsung walifanya upgrades nzuri
Kwakweli hapa Sumsung nawapa shikamoo, hii kitu imetulia sana, unaiona waziwazi thamani ya pesa yako.

Hapa ninavyocomment chaji ipo 80% tangu saa 12 asubuhi nilivyoanza kutumia internet.
 
Kwakweli hapa Sumsung nawapa shikamoo, hii kitu imetulia sana, unaiona waziwazi thamani ya pesa yako.

Hapa ninavyocomment chaji ipo 80% tangu saa 12 asubuhi nilivyoanza kutumia internet.
Mimi nimecharge tangu jana mchana. Natumia internet kwa kuangalia movie online na kuperuzi hapa na pale ipo 64%. Na nilinunua July mwishoni 2017.
 
- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe!

- Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii!

- Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe!

- Unasave namba ya mtu, siku unakuta mara imepotea.

- Muziki wake utadhani una suboufer!

- Mafundi wake na spare zake vimejaa kedekede kila kona!

- Zinatuunganisha haswa, kila unayekutana nae anayo!

Hongera TECNO.
Hiyo ni tecno toleo LA zamani version 2
 
Daaaaaaaaaaah napita tu ...... vyote vinanihusu Tecno Na Itel Na vinafanya manuva Kama alivyosema mleta mada, ipo siku yangu tu ya IPHONE 6
 
unalala ukiamka unakuta imeshacheza tatu mzuka,imejiunga kifurushi cha siku Na kama wale jamaa wa Ile hela tuma kwenye namba hii wakituma ujumbe,techno haichelewi,unakuta imeshamtumia
 
Umeweka mfukoni mara unasikia mtu anapokea simu unaishia kusema simu ilijipiga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kama umenilenga Mimi vile [emoji4] [emoji4] [emoji4] ila Nina mpango wa kujichanga changa kupata japo ka iphone.
 
- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe!

- Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii!

- Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe!

- Unasave namba ya mtu, siku unakuta mara imepotea.

- Muziki wake utadhani una suboufer!

- Mafundi wake na spare zake vimejaa kedekede kila kona!

- Zinatuunganisha haswa, kila unayekutana nae anayo!

Hongera TECNO.
Acha uwongo wewe, techno gani kukata mpaka utoe betr ili kukata
Mm natumia camon x pro Hakuna cha kutoa betr wala nini,
Camon X Pro kiboko ya mama Zenu
 
Back
Top Bottom