Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Mnazipendea tecno kwa sababu ni bei chee... lakini ubora wake ni zero.
Kwa sasa tekno ambayo nitaweza kuipenda ni tecno l 9 kwa sababu inakaa na chaji muda mrefu.
Labda tecno wa kufikiria ni flagship zitakazoanza kutoka mwaka huu kwa sababu tacno imewekwa gsm arena now it means wako levo za kidunia sasa.
 
Je mnaboresha biashara ya mtu, kwa kuchafua biashara za wengine? Mungu anawaona mjue.
 
- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe!

- Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii!

- Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe!

- Unasave namba ya mtu, siku unakuta mara imepotea.

- Muziki wake utadhani una suboufer!

- Mafundi wake na spare zake vimejaa kedekede kila kona!

- Zinatuunganisha haswa, kila unayekutana nae anayo!

Hongera TECNO.

Hiyo ya kusave namba ya mtu ndiyo inayonifurahus
- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe!

- Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii!

- Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe!

- Unasave namba ya mtu, siku unakuta mara imepotea.

- Muziki wake utadhani una suboufer!

- Mafundi wake na spare zake vimejaa kedekede kila kona!

- Zinatuunganisha haswa, kila unayekutana nae anayo!

Hongera TECNO.
Hiyo ya kufuta namba za simu au majina ndiyo inayonifurahisha zaidi.....Uber ,Taxify zisahau
 
Mnazipendea tecno kwa sababu ni bei chee... lakini ubora wake ni zero.
Kwa sasa tekno ambayo nitaweza kuipenda ni tecno l 9 kwa sababu inakaa na chaji muda mrefu.
Labda tecno wa kufikiria ni flagship zitakazoanza kutoka mwaka huu kwa sababu tacno imewekwa gsm arena now it means wako levo za kidunia sasa.

TECNO KIBOKO YA SIMU BOYA ZOTE
 
- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe!

- Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii!

- Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe!

- Unasave namba ya mtu, siku unakuta mara imepotea.

- Muziki wake utadhani una suboufer!

- Mafundi wake na spare zake vimejaa kedekede kila kona!

- Zinatuunganisha haswa, kila unayekutana nae anayo!

Hongera TECNO.
Yangu mwaka wa 3 haijakorofisha . uko bombs techno 8plus
 
Back
Top Bottom