Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

E mail nasoma, natuma ,document zangu naandaa vizuri nikiamua kuprint na print, camera ipo vizuri picha napiga, nikiwa na uhitaji wa documentary au habari yoyote you tube naingia, vizuri, nikiamua kupitia mitandao ya kijamii sipati tatizo kwanini sasa nikomae kununua simu ya laki name au saba wakati ipo simu ya laki tatu inaweza kufanya yote hayo tena kwa ufanisi,

Vijana ngojeni mmalize masomo ndio mtajua kumbe TEKNO na iPhone zote simu tofauti majina, ukiwa unakula bure unalala bure huwezi kujua thamani ya pesa kitu cha million moja utaona kawaida tu kuwanacho sababu pesa yako haina uhitaji, mkikua mtaacha huu ubishi was kitoto
Mkuu hata mimi kutokana na kubanawa na majukumu ya maisha nilikuwa na msimamo kama wako lakini nimelazimika kubali msimamo wangu.

Kinachonikera zaidi Tecno ni kustuck kitu ambacho hakipo kwenye sumsung.
 
Mkuu hata mimi kutokana na kubanawa na majukumu ya maisha nilikuwa na msimamo kama wako lakini nimelazimika kubali msimamo wangu.

Kinachonikera zaidi Tecno ni kustuck kitu ambacho hakipo kwenye sumsung.
Ununua tekno ya laki na nusu unategemea nini,
 
Kabla ya tekno kuna michina simu ililetwa pale k,koo.
Nilinunua moja miaka ile eti simu ina mpaka tv channel ***** kichina kitupu mwanzo mwisho.
Nikaibiwa nikasema asante bora mmenipunguzia zambi nisiitupe.
Bonge la simu,body safiii,flat swim soft pigiwa simu sasa🤔
 
Tecno usipokua makin umeweka mfukoni unatoa ishapga picha chup/boxer, gegedo/papuchu na ishatuma kwenye ma group yote ya whatsapp, fb imeshapost na status tayar ni ku comment tu,
Aisee, mmeamua kunivunja mbavu
 
ninaipenda tecno kuliko smartphone Kama zote duniani. Kwanza nikicharge usiku naenda job, napitia kwenye vikao narudi saa 3 au 4 usiku bado hiko hewani. Sina haja ya kutembea na charger wala power bank. Kizuri hakikosi kasoro Kama mapungufu yapo but kwa kutunza chaji sijaona smartphone Kama tecno.
 
Tecno forever
Screenshot_20181021-090946.jpeg
Screenshot_20181021-090932.jpeg
 
Back
Top Bottom