Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Sinunui tena tecno , yaani kwa kujipiga ...unatafuta no ya MTU umpigie ile unagusa tu screen tayari ilishajipiga kwa MTU ambaye wala haumuhitaji.. Ngoma iko kwenye kukata sasa! ..Tecno hapana aisee.
 
Back
Top Bottom