Me natumia tecno na sijawahi kutana na tatizo hata moja kwenye cm.
Gari likipiga honi zinajiwasha zenyewe Bluetooth [emoji23]
- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe!
- Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii!
- Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe!
- Unasave namba ya mtu, siku unakuta mara imepotea.
- Muziki wake utadhani una suboufer!
- Mafundi wake na spare zake vimejaa kedekede kila kona!
- Zinatuunganisha haswa, kila unayekutana nae anayo!
Hongera TECNO.
Wazee wa kuweka launchers za ku-download huwa mnajulikana kirahisi sana.Yanguu hii hapa...
View attachment 905360
Hahahaa kitochi chenyewe Cha Tecno !Bora nitumie kitochi kuliko tecno [emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahaaaa!Ukitaka ujue utamu wa tecno, iweke mfukoni halaf torch igeukie pajani bahati mbaya ijiwashe, inachoma unaweza itupa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha TECNO HOYEEView attachment 905222
Hivi hapa jf ni wapi mnaonana maana na mimi nataka nikuoneJamani mm zaidi nimefurahi kukuona
Watumiaji wa i phone wanajiona washafika mbinguni