Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Duh noma!
Mixer kujiweka flight mode wakati unazumgumza na simu na kujiwasha torch.unakuta mtu anaongea na simu mchana wa saa sita jua kali ila jisimu limejiwasha tochi.
hasa Tecno H6, mim nlishahamiaga Samsung kuanzia kitochi chang mpaka smartphone.
 
Kiukweli pamoja na raha zake, TECNO imekomboa sana watu wengi.

Mimi nimeweza kuwa fundi simu kupitia changamoto za TECNO.
 
Bila shaka itaizidi bei pia, mimi Galaxy J7 pro ya 2017 nimenunuwa kwa dola 300 kwenye duka la Sumsung wenyewe with 2 years warranty.

Go for it utaiona thamani ya pesa yako.
Nimeidaka juzi hii pro, najiuliza nilikuwa nakwama wapi, hapa samsung walifanya la maana.
 
Mara ya mwisho kutumia tecno mwaka 2014. Niliachana nayo rasmi baada ya usumbufu kwenye phone memory. Nilifuta kila kitu (app, videos + music) na bado memory ipo full.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
achana na TEKNO mtu wa kumwonea huruma ni yule anayetumia ITEL
hawa watu wanahitaji msaada wa maombi
Kweli bro juzi tyu nimetoka mkushirikisha Mjaruo 1aisee ilikuwa kituko now in tecno c8 iko powa naona
 
Mm iliniandikia kichina! Pangusa pangusa na wewe iko vilevile! Kuzima haizimi, kudonyoa utadonyoa hadi kidole kivimbe!
Mwisho inakubidi kutoa battery kabisa ndio izime! Umeshapoteza muda na pengine mambo mengine ya muhimu.
 
Kuna fala mmoja kazini hua anakuja na tab ITEL anavimba. nikaiangalia RAM 465MB sikushangaa sana maana anatokea sengerema
Ha ha ha haaaaaa.... aisee yani kama namuona vile jamaa akiwa amevaa koti la suti ya mtumba akijitanua tanua huku kaishikilia tab itel mkononi...
 
Bora nisiwe na smartphone kuliko kutumia tecno. Yale mateso siyataki tena. Asante Samsung.
 
Back
Top Bottom