if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,477
- 2,085
Wakuu tunaponunua simu tuwe makini,Tecno kila siku wanaboresha brands zao,unapotaka simu unatakiwa uangarie specification zake kabla ya kununua au ulizia mtu ambae hata kaitumia kwa mda mfupi,kuna watu wanajua simu kupta maelezo kwa ajili ya ufuatiliaji wa brands.
Tecno mwanzoni walikuwa na simu za ovyo sana ila kila kukicha wanakuwa vizuri,sasa nazani hao wote wanao lalamika ni wahanga wa mwanzoni sana waliowahi kutumia tecno wakiwa wanatumia brands za zamani ambazo zilikuwa ovyo zaidi.Angaria uwezo wa simu japo ni tecno.kuna tecno nzuri sana yani huwezi kujutia.
Angaria baadhi ya matoleo yao hasa yale ya CAMON C na X .
Mfano Tecno Camon c7 ,c8 ,c9 ,zilifanya vzuri sana mambo ya kustuck haikuwa rahisi.Pia kwa sasa simu zipo nzuri tu we cheki simu kama Tecno Camo x na x pro mbona zipo safi tu na bei yake ni ya kishikaji tu.waliianza na 420k ila hadi sasa ni kama c zaidi ya 350k ,camera ni 20 kwa 16mega pixel,inajaa fasta mana inakifaa maalumu cha kujaza simu haraka na haimalizi chaji wepesi,quick charger.
kiukweli zamani ukiwa na tecno hasa maeneo ya watu utakuwa unaenda kupokelea chooni,ila tecno za sasa ziko poa tu kwa matumiz ya kawaida ukiwa na laki nne unapata simu nzuri tu ukilinganisha na 800k kwa i phone na hali ilivyo nzuri kwa sasa bora ukachukua tecno ya 400k ukatulia naamini itakuwa nzuri tu .