Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

IMG-20181016-WA0000.jpeg
Tangu niijue Xiaomi nimeachana na Tecno. Kiukweli Tecno ilitupa fursa wengi kutumia smartphone, kama yupo MTZ unaipenda Tecno jitathmini upya coz wachina wenyewe hawatumii Tecno.
 
Mimi ninachoipendea haijawahi kugoma kuingiza salio za Tigo pesa au kumtumia mtu salio kwa bahati mbaya. Raha ya simu salio sio unajisifu una iPhone kuingia JF bando la bure mnaita free nini sijui!

Ha hahaaaa
 
Kuna rafiki yangu amenipigia simu ananiambia shunie samahani hii simu imejipiga yaani nikiwa naongea na mtu kwenye simu inajipiga simu nyingine

Shikamooni wenye tecno
Pia simu za michina zinamadhara ya kimionzi hasa kwa wale wanzitumia muda mrefu kuongea.
 
Tecno ni simu nzuri sana. Nilianzaga na iPhone nikawadharau sana yaani apps za trials wao wanakulazimisha ulipie kabla hujaipakua. Nikahamia Samsang nao hovyo tu, nilipoingia Tecno nikaikubali mno. Tecno unaeza kuichezea utakavyo, ku-root ni rahisi, yaani mie na Tecno hadi kifo.
 
- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe!

- Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii!

- Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe!

- Unasave namba ya mtu, siku unakuta mara imepotea.

- Muziki wake utadhani una suboufer!

- Mafundi wake na spare zake vimejaa kedekede kila kona!

- Zinatuunganisha haswa, kila unayekutana nae anayo!

Hongera TECNO.
Acha kukejeli TECNO wewe, TECNO ni habari ya mjini...

Wewe hujui kuitumia
 
- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe!

- Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii!

- Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe!

- Unasave namba ya mtu, siku unakuta mara imepotea.

- Muziki wake utadhani una suboufer!

- Mafundi wake na spare zake vimejaa kedekede kila kona!

- Zinatuunganisha haswa, kila unayekutana nae anayo!

Hongera TECNO.
Ww Kakutuma au kakwambia hivo
 
Back
Top Bottom