Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Ha ha ha haaaaaa.... aisee yani kama namuona vile jamaa akiwa amevaa koti la suti ya mtumba akijitanua tanua huku kaishikilia tab itel mkononi...
MasterP. Tunafanya kazi ofisi moja nini maana hizi ID's fake nazo
 
Mkuu hata mimi kutokana na kubanawa na majukumu ya maisha nilikuwa na msimamo kama wako lakini nimelazimika kubali msimamo wangu.

Kinachonikera zaidi Tecno ni kustuck kitu ambacho hakipo kwenye sumsung.

🤣🤣🤣🤣
 
Umehifadhi ka Amber Rutty kako kwa matumizi ya familia Mara Pap, kapo Instagram, Facebook au Jamii forum
 
Tecno nyingine zipo poa sana. Natumia C9 haijawahi kusumbua mwaka wa 3 sasa. Simu zote zikichoka vimeoa hakuna yenye unafuu, sumsung aliheshimika sana ila betri zikaanza kulipuka tukaona kimeo. Kila simu inamatatizo yake
One samsung na wala hatujawah kuigusa !usi generalizes samsung zote .
Ni note 7 tu
 
Mimi tecno zimenisaidia sana demu akitaka smart phone huwa nawabebea vitecno vile baaas unahonga ka k7 uankula mzigo mpaka unachefukwa nao hata akija kustuka inakuwa imelipa
 
Amakweli njia iendayo uzimani ni nyembamba [emoji134][emoji134]
Huwezi amini wenye Tecno ndo wanacomment wana Iphone
~~~
[emoji23][emoji23][emoji870]shikamoo tecno kwa kuwafichia siri zao
 
Unakutana na demu mkali, unampa simu yako ya tecno anasave namba yake, unafika nyumbani huikuti ile namba. Moyo unakuuma unaanguka chini unakufa.
Namba kupotea kutoka phonebook husababishwa na permissions unazotoa kwenye launcher ya simu yako,mfano,HiOS launcher,chakufanya launcher ikiomba ruhusa fulani,mfano kuaccess Contacts wewe Deny tu.
 
Mimi hapa nataabika na TECNO N8 yangu, ukiwasha data inapata moto wa hatari[emoji3][emoji3][emoji3] tiba yake ni kutoa betri utulie kama nusu saa..Tecno hoyeee
Simu ku-heat ni jambo la kawaida sana,chakufanya limit background data tu.

Kuna app zinatumia RAM ya simu yako bila kujua.
 
Back
Top Bottom