CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
- #21
Na wewe story zako hizi itabidi upewe kurasa magazeti pendwa.
Hakika.... Nitafutie basi!!!!
Na wewe story zako hizi itabidi upewe kurasa magazeti pendwa.
Kwenda ntaenda tu kwa taarifa au bila taarifa...
Shabaash nikakuta hivyo lazima nihitaji maelezo ya ziada na siwezi nikaona ni kawaida
Hivi kweli kuna watu wanatengenezewa chai huko makazini kwao?
Wenzao hata nyumbani tunajitegenezea chai..tuandaliwe chai kwani hatuna mikono??
Na hao wanaowaandalia watu wengine chai hawana kazi ya kufanya??
Anyway..inawezekana wengine tumepitwa na wakati....!!
Babu DC!!
mimi walah sina wivu wakijinga, najua ananipenda basi inatosha. kama nikimkuta sitajali najua tu ni mambo ya kazi.
hata km sio ustaarabu nitakwenda ijapokuwa si mara zote tena bila taarifa ikiwezekana mda wanaotoka labda kuwe na tatizo au shida ya kumuona na kuondoka
Unaingiaje ofisini kwa mwenza
wako kama chooni? Kwa walinzi na
reception unasema una shida
gani?[/qoute]
Kama
mnapendana na kuaminiana
hakuna haja ya kutoa taarifa kama
naenda kazini kwa mume wangu
Duh.... mbona dillema??? Ngoja niwaite hawa waongezee michango yao, wapi Mzee Mtambuzi, vipi mama Ngina akija hapo kazini kwako ghafla akakuta unamhug kimwana????
Dada mkubwa gfsonwin na snowhite hebu tupe uzoefu wako katika hili.....
Kaka HorsePower sema neno na roho yangu itatulia.......
kama nina bastola kama ta rage lazima niwajambishe ili siku nyingine msirudie..utani na mke wangu sitaki kabisa. ..alaah!
Unaingiaje ofisini kwa mwenza
wako kama chooni? Kwa walinzi na
reception unasema una shida
gani?[/qoute]
Duh.... mbona dillema??? Ngoja niwaite hawa waongezee michango yao, wapi Mzee Mtambuzi, vipi mama Ngina akija hapo kazini kwako ghafla akakuta unamhug kimwana????
Dada mkubwa gfsonwin na snowhite hebu tupe uzoefu wako katika hili.....
Kaka HorsePower sema neno na roho yangu itatulia.......
Kwanza mama Ngina ananiamini sana, kwa hiyo hata akikuta nam hug kimwana wa ofisini atajua tu kwamba ni utani wa babu na mjukuu wake, wala hatanitilia mashaka, si anajua mzee mwenyewe nguvu zishaniishia sitoziweza sarakasi za mabinti, sasa presha ya nini...........
Lol..yeye akikuta nimeegemewa atafurahi kweli!!!Teh..... Unaweza kuchukia wadada wa kazini kwa mmeo bureee!!!!