CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Weekend niaje wanaMMU????
Yangu naimalizia hapaa, ila usiulize ni wapi!
Back to topic: Kama kawaida mjuavyo makazini ama maofisini huwa kuna utani wa hapa na pale baina ya wafanyakazi, mara mkaka huyu kamhug mdada huyu mara wameegemeana n.k...
Wengine hata ni wanandoa ila utani lazima uwepo, mara inatokea mke wa Mr. X anakuja hapo kazini kwenu ghafla na kumkuta Mr. X anamhug mdada fulani hapo.. Je wewe kama Mrs. X unaweza kufikiri ni hali ya utani baina yao au watakuwa na lao jambo????
Ama inatokea Kaka mmoja hapo ofisin anamuagiza Mrs. X amletee chai, Mrs. X anaandaa chai na kumletea huyo mkaka kisha anajirgama mezani kwake wakiendelea na story. Ghafla Mr. X anaingia na kumkuta Mrs. X akimkorogea sukari hapo mezani huku ameegama... Wewe kama Mr. X utafikiria nini????
NOTE: Hakuna mapenzi baina yao ila ni katika ule ukaribu kama wafanyakazi ndio maana hayo hutokea....
Hebu tujadiliane wadau.... Ni sahihi kwenda kazini kwa Mkeo/mmeo/mpenzio.bila taarifa? Hizo tabia za kuhug, kuwa na ukaribu zaidi baina ya wafanyakazi zimekaaje???