neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,864
- 2,157
Ni kawaida sana kwenda kazini kwa mme/mke bila taarifa, la muhimu taratibu za kazi zisikiukwe au ujio wake usiathiri kazi zako. Kama unahisi hauko comfortable kutembelewa na mwenzi wako kazini bila taarifa, basi jitazame .. kuna madhambi una fanya hapo.
Utani wa kazi uwe na mipaka especially kwa wanandoa/ na walio ktk committed relationship. Kuna utani mwingine ukifanya hata kama haumaiinishi ukikutwa huwezi kuprove uko inoccent lakini pia utani huu huu ndio huenda ktk reality...
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums