Kumekucha pccb hawoooo!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumekucha pccb hawoooo!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Eberhard, Jan 10, 2014.

 1. E

  Eberhard JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2014
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,017
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Kwa habari niliyopata leo asubuhi kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba PCCB wanatoa nfasi kuanzia wiki inayoaanza jumatatu. Na interview itafanyika wiki moja baada yani kati ya jumamosi au jumatatu inayofuata ndiyo interview zitaanza. So wameshamaliza kufungua maboksi yote na kufanya shortlist.

  Vodacom: Kazi ni kwenu!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2014
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,126
  Likes Received: 2,288
  Trophy Points: 280
  Kumbe interview nlijua kuanza kazi?
   
 3. E

  Eberhard JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2014
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,017
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  kuanza kazi bila interview kwani ni ualimu au udaktari?
   
 4. M

  MTOTO KITAA JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2014
  Joined: Oct 18, 2013
  Messages: 242
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  nijiandae nilambe dume
   
 5. E

  Eberhard JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2014
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,017
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  omba Mungu jina lako liwepo.
   
 6. Madagiz

  Madagiz Senior Member

  #6
  Jan 10, 2014
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 157
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Posts zilizotoka zilikuwa nyingi,ishu ni kwamba jina litakuwepo?
   
 7. E

  Eberhard JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2014
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,017
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  sijaelewa. Ni swali au nini?
   
 8. l

  leeparks Member

  #8
  Jan 10, 2014
  Joined: Oct 31, 2013
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wacha uongo wewe
   
 9. Madagiz

  Madagiz Senior Member

  #9
  Jan 10, 2014
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 157
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Nina maana kwamba zile nafasi zilizotangazwa zilikuwa nyingi,so ishu ni je ktk majina yaliyofanyiwa shotlisting mm au wewe 2takuwepo!
   
 10. MAKANJAMNA

  MAKANJAMNA JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2014
  Joined: Aug 8, 2013
  Messages: 831
  Likes Received: 747
  Trophy Points: 180
  Mh.. watu karibu 30,000 waliapply.. tukitoa watu elf 5 wasio na vigezo wanabaki 25 elfu.. kwa njia rahisi, probability ya kila mmoja wenu kuitwa kwenye interview inakuwa
  1/25000 ambayo ni sawa na 0.00004..

  kila la heri..
   
 11. r

  reginahope Senior Member

  #11
  Jan 10, 2014
  Joined: Mar 26, 2013
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sidhani km wanaweza kuita watu wote hao
   
 12. E

  Eberhard JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2014
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,017
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Kwani PCCB ni malaika. MAneno yote haya yataisha next week.
   
 13. E

  Eberhard JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2014
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,017
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  nimekosea kutoa taalifa?
   
 14. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2014
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Sandakalawe, amin
  mwenye kupata,apate
  Kitu cha fanta,
  Waooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
  Ndivyo itakavyokuwa..
   
 15. D

  DIKE JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2014
  Joined: Feb 11, 2013
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Me nilidhani list ya majina kumbe sio
   
 16. wende

  wende JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2014
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Dah,japo updates ni nzuri but sometimes ishu nyingine especially kama izi zinawatia watu presha tu. It has taken too long in such a way dat,watu saiz wanataka short-list for interview and then iishe na watakaopata/kosa waendelee na issue nyingine and dat is ol. Otherwise, inaboa tu!
   
 17. mandwa

  mandwa JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2014
  Joined: Aug 13, 2013
  Messages: 1,282
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mungu yu mwema
   
 18. m

  mikazó JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2014
  Joined: Jan 24, 2013
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tayar mbna watu washawapanga majembe yao..technical knw whom hyo,.tafuta chini ya carpet utapata info zote
   
 19. E

  Eberhard JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2014
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,017
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Majina angalia/angalieni kwenye mtandao kuanzia na magazeti kuanzia jumatatu
   
 20. abbaczo

  abbaczo JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2014
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,413
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  hauko sahihi 1/25000 ikiwa katika interview atahitajika mtu mmoja tuu. Kulikuwa na nafasi zaid ya 250 hivo katika interview wanaweza kuitwa watu karibia 1000 hivyo probabiliy ya kuitwa katika interview itakuwa approximately 1000/25000 i.e 1/25 yaani katika kila watu 25 walioomba ataitwa mtu mmoja tuu,
   
Loading...