Duu....hiz hesabu mnazisoma wapi? p*Q=mean not prob again
p (kupata)=p (kuitwa int)¡Áp (kushinda int)
p (kupata)=0.00004¡Á0.5
mkuu sisi wengine tulikuwa tunatumia four figure table.
Ngoja niangalie tena mlinganyo, P-uwezekano wa mtu mmoja tu kuitwa kati ya wote "kama ataitwa mmoja pekee", kama wataitwa Q, uwezekano wa kuitwa utakuwa P*Q.
Kupata ajira 'R' haiwezi kuwa p~0.5, uwezekano utakuwa mdogo kuliko huo sema idadi ya watakaopata ajira R, uwezekano toka watakaoitwa Q = R/Q.
Uwezekano wa mtu mmoja kuitwa usahili "na" kupata ajira.
=P*Q*R/Q
=>P*R
Kwakuwa watakaoajiriwa R ni zaidi ya 250.
=>p*250 >> p*0.5, uwezekano ninaouona mimi kwa vijana kupata nafasi ni mkubwa mara 500 ya unaouona.
Hesabu hizi wakati Kapuya alikuwa waziri wa elimu alikuwa safi kidogo wakati huo, huyu wa sasa akiwa bado anatafuta shahada ya kwanza.
Nikiwatakia vijana walioomba mafanikio mema.
P (kupata)=0.5 coz outcomes ni 2 tu kupata au kukosa inazidishiwa na prob ya kuitwa ambayo ni wataoitwa/walioaply. ukitak kupata wastan (mean) ndo utachukua product ya hizo prob 2 hapo utazidisha na Q (idadi ya walioomba). Hope umeelewa!