Kumekucha: Mawaziri waitwa Dar ghafla!

Kumekucha: Mawaziri waitwa Dar ghafla!

Status
Not open for further replies.
Namharibia nini? Wao wanavyoiba diesel inayoyonuliwa kwa kodi zetu, magar hayo wanavyoyapeleka kwa waganga wa kienyeji wakiwa na mabosi wao kazi ambayo haipo kwenye schedulle za mawaziri, ving'amuzi vya mabosi wao wanavyopakia kwenye magari yetu na kuyanajis ni jambo la maana hilo? Na wafukuzwe kama kusema kweli ni kosa! Allaa!

Mteneti hizo sasa ni chuki binafsi, kati ya dereva na serika yako ya ccm nani mwizi? mara ngapi wewe umekwenda kwa waganga ila hausemi? Hoja ni kwamba, wewe jina lako umelificha, lakini wenzako unawataja, weka lako hadharani. Jipange
 
safi sana nahisi kama pinda kuachia ngazi vile,hivyo kikwete anaweza kuvunja baraza la mawaziri

ikitokea Muujiza Baraza la Mawaziri likavunjwa tunaomba pale Wizara ya Michezo pasichanganywe na mambo mengine Mara Habari Mara utamaduni Tunaomba iwepo Wizara ya Michezo tu yaani michezo pekee na hizo Habari na Utamaduni zipelekwe kwingine Kwani Michezo imedorora sana unahitaji Wizara ya Peke yake tu Na ateuliwe Waziri mwenye kasi na mbunifu mwenye uchu wa kucheza kombe la Dunia michezo Kama Riadha Netboli kikapu ndondi ihamasishwe ilete medali michezo ya kimataifa Uganda wao Wizara ya Utamaduni inajitegemea kabsa na inasimamia vizuri mila na Desturi za kiafrika Hakuna Uvaaji wa Hovyo hovyo uvaaji Milegezo na vijinguo vya kubana Kama Tz
 
Wizara ya Habari,sayansi na Tekinilojia viwe pamoja na Wizara ya Mali asili na Utamaduni viwe pamoja ikibidi Wizara mpya ya Utamaduni iundwe kwani Utamaduni ni Kama umepotea sasa Maadili Hakuna Vijana wa kiume kike Wanavaa hovyo hovyo(milegezo) Hakuna kiongozi anayethubutu kukemea hili wanaogopa Masela . Mh Rais hakika Ukitenganisha Michezo na Mambo mengine Michezo itakuwa kwa kasi sana ni Vyema Michezo ikwa peke yake Kama ilivyo Wizara ya Fedha .
 
Namharibia nini? Wao wanavyoiba diesel inayoyonuliwa kwa kodi zetu, magar hayo wanavyoyapeleka kwa waganga wa kienyeji wakiwa na mabosi wao kazi ambayo haipo kwenye schedulle za mawaziri, ving'amuzi vya mabosi wao wanavyopakia kwenye magari yetu na kuyanajis ni jambo la maana hilo? Na wafukuzwe kama kusema kweli ni kosa! Allaa!

watakuwa hawakupi tena siri zao.
 
Dizaini wengi watarudi bunge lijalo kama wapiga makofi kwenye zile meza khaaaaa
 
Mteneti hizo sasa ni chuki binafsi, kati ya dereva na serika yako ya ccm nani mwizi? mara ngapi wewe umekwenda kwa waganga ila hausemi? Hoja ni kwamba, wewe jina lako umelificha, lakini wenzako unawataja, weka lako hadharani. Jipange

ndo ujue unafiki wa mleta mada,nadhan lengo lake ni kumchonganisha dereva na bosi wake.
 
ikitokea Muujiza Baraza la Mawaziri likavunjwa tunaomba pale Wizara ya Michezo pasichanganywe na mambo mengine Mara Habari Mara utamaduni Tunaomba iwepo Wizara ya Michezo tu yaani michezo pekee na hizo Habari na Utamaduni zipelekwe kwingine Kwani Michezo imedorora sana unahitaji Wizara ya Peke yake tu Na ateuliwe Waziri mwenye kasi na mbunifu mwenye uchu wa kucheza kombe la Dunia michezo Kama Riadha Netboli kikapu ndondi ihamasishwe ilete medali michezo ya kimataifa Uganda wao Wizara ya Utamaduni inajitegemea kabsa na inasimamia vizuri mila na Desturi za kiafrika Hakuna Uvaaji wa Hovyo hovyo uvaaji Milegezo na vijinguo vya kubana Kama Tz

mi napenda hyo idara ya utamaduni ipelekwe wizara ya fedha na jina lisomeke 'Wizara ya fedha na utamaduni'
 
Wana JF,

Dereva wa mbunge wangu ambaye ni Waziri wa xxxx
Wee Mtengeti!, kwa nini unataka kumfukuzisha kazi bure dereva wa watu?!, umemtaja wa nini?!, unajua fika amepokea simu kutoka mahali anapopajua yeye!, sasa unamtaja mpaka ni dereva wa waziri gani wa nini?!, au unajifanya hujua kazi haswa ya madereva wa wakubwa?!, wewe unawaona kama ni madereva tuu ukijua kazi yao ndio kuendesha tuu hayo magari?!.

Hebu futa haraka hilo jina la wizara kabla pombe za bure hazijawatoka vijana wa night shift 24/7 jf monitoring!.
Utamponza mwenzio!.
Pasco.
 
Hahahahahahahaaaaaaaaaaa.matumbo joto as if wamekula pilipili kichaa.yaani mwawaziri wakimsikia mzee kakohoa wanastuka wakijua wanaitwa simnajua mtu mwenye mawazo hata ukikohoa utasikia "ee unaniita/abee! umeniita na aliyekohoa utamsikia aah!hapana sijakuita.2014 mwaka mchungu kwa mawaziri mpaka wanatamani cku zigande.
 
Masikini mawaziri mizigo,pressure juu!

Hasa wizara ya michezo Hakuna jitihada zozote za kuitenganisha na Habari na Utamaduni yaani Habari ipelekwe kule kwenye wizara ya Sayansi na Tekinologia na Utamaduni upelekwe wizara ya Mali asili isomeke hivi Wizara ya Utamaduni na Mali Asili . Michezo iwe na Wizara ya peke yake Kama ilivyo Wizara ya Fedha Pia wizara ya michezo ipewe bajeti kubwa Kama wizara Muungano ili waziri husika ainue michezo kwa kasi
 
Ni Mwenyekiti wa kamati iliyoibua vioja vya Wizara ya Mali asili na wizara ya mifugo,mambo ya ndani na Ulinzi . Limbeli huwa ni Mkali sana pindi akiamua lakini huwa anachemsha baadhi Mfano hao upo pale Kawe kuna Mzee anaitwa Ngonyani alimpelekea malalamiko yake juu ya kudhulumiwa Haki yake ya kuuza kiwanja kwa Mama mchungaji Rwakatare lakini Limbeli alishindwa kumsaidia kabsa hadi Leo Mzee ngonyani anataabika hajui lini atalipwa Haki yake

asante sana maelezo yako yamenifungua macho sasa
 
Wana JF,

Dereva wa mbunge wangu ambaye ni Waziri wa Maji asubuhi wakati tunapata supu kwa nguluma hapa Mwanga alipokea simu kutoka mahali anapopajua yeye na kusema kuwa ameambiwa apeleke gari TEMESA kama ana mafuta basi mpaka saa kumi leo awe amefikisha gari la serikali Dar.

Wakati huo huo mchana wa saa tano nilikuwa naenda Mjini Ms nikapata Lift ya gari binafsi la Mbunge wangu akienda KIA! Njia nzima alikuwa akimlaani Kinana na Lembeli kuwa ndio chanzo cha yote!

Natumaini yametimia mkuu kawaita ghafla

Kweli uchizi ni ugonjwa usipopata tiba madhara yake ni makubwa kwenye jamii! yaani unywe na dereva na wa mbunge; baada ya muda upate lifti ya gari la mbunge nitakubaliana na wewe ikiwa wewe unayetupa habari hii ni mbunge mwenyewe!
 
Huyo mbunge wake kiboko. Alikuwa na gari la waziri same, at the same time alikuwa na gari lake binafsi. Akili za kuambiwa changanya na za mbayuwayu.

Mkuu kule ni hom kwake anayo zaidi ya mawili.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom