Kumekucha: Mawaziri waitwa Dar ghafla!

Status
Not open for further replies.
Siamini na sidhani kama kuna mabadiliko ya maana yanaenda kufanyika...jk ameshafanya sana recycling ya hawa watu hivyo hakuna kipya hata akivubja baraza leo
 
Kwa utaratibu wa serikali anayeambiwa arudishe gari huwa ni dereva, siyo waziri. Nakumbuka wakati wa Mwalimu mkurugenzi mkuu wa CRDB alikuwa anapata kinywaji, dereva alikuwa yupo nje na gari akimsubiri, alipigiwa simu kuwa airudishe gari ofisini. Mwalimu alimteua mkurugenzi mwingine bila hata ya kumjulisha yule wa mwanzo.Yule dereva akaamua kumwita mkurugenzi ili ampe lift lakini kwa vile mkurugenzi hakujua alikuja juu ndipo marafiki zake walimvuta pembeni na kumjulisha kuwa ilikuwa imetangazwa kwenye taarifa ya habari kuwa Rais alikuwa amemteua mkurugenzi mpya, akawa mpole.

Mkuu anayepaswa kuambiwa arudishe gari ya serikali ni waziri au dereva?

Huyo mbunge wako waźiri alikuwa Same na gari ya Waziri at the same time gari lake binafsi? Hebu nisaidie kwanza hapo.

r
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom