Kumekucha: Mawaziri waitwa Dar ghafla!

Kumekucha: Mawaziri waitwa Dar ghafla!

Status
Not open for further replies.
Huyo mbunge wake kiboko. Alikuwa na gari la waziri same, at the same time alikuwa na gari lake binafsi. Akili za kuambiwa changanya na za mbayuwayu.

Ndio nini kuuzunguka Mbuyu niambie nielewe hapa unazidi kunichanganya tu ODM weweeeee
 
Mhe. Lembeli ateuliwe Waziri wa Maliasili na Utalii ili naye aonje joto la jiwe.
 
Marhabaaa mama!!!!
We unadhani sikuelewi sababu ya huyo mtu? ?!!!! Wa nini mie huyo???!!!
Kalenda yako inasomaje???

Kalenda iko poa Happy New year japo nimechelewa kuitoa
najua huyo mtu sio sababu..najua tu ni kwanini hunielewi

Huyo mtu ni nani na wadhifa wake mie simjui ati
 
umetaja mpaka wadhifa wa boss wake(waziri wa maji).boss akisoma hapa si utasababiasha mtafaruku kati ya yeye dreva na wake?cos atajua dreva ni chaumbea....ila simlaum madreva wa mawaziri wana kuwa na siri nzito sana za maboss wao.
 
Hakuna nilichokielewa, Nana woote mnazunguka mbuyu tu.
 
Aisee bora kuwa mjasiliamali u a own boss!hapa mheshimiwa kanyang'anywa gari dah!life not fair kabisa aisee!
 
Kinachonisilitisha ni huyu jamaa kutaja wazara anayoifanyia kazi waziri husika na dereva wake,jamani tuwe main I na watu tunaowapa lift hata ww unayetoka nyumbani kuja kwenda ofisini watu wengine hawafai kama huyu jamaa.
Mimi nijuavyo magari yote ya mawaziri ni ya wizara wanazozitumikia once wakiondoka magari yanabaki kwenye wizara husika ili aje kutumia waziri ajaye nb:kama gari bado iko katika hali nzuri.huko temesa huwa wanaenda kwaajili ya ukaguzi na matengenezo
 
Mkuu anayepaswa kuambiwa arudishe gari ya serikali ni waziri au dereva?

Huyo mbunge wako waźiri alikuwa Same na gari ya Waziri at the same time gari lake binafsi? Hebu nisaidie kwanza hapo.

waziri ndiye wa kujulishwa. inferred meaning ni kuwa huyu jamaa alikuwa na dereva labda asubuhi na mchana akenda kwa mbunge wake wakaamua waende ms. wakati huo gari la serikali likiwa laelekea Dar. hapa labda atufafanulie
 
Mkuu anayepaswa kuambiwa arudishe gari ya serikali ni waziri au dereva?

Huyo mbunge wako waźiri alikuwa Same na gari ya Waziri at the same time gari lake binafsi? Hebu nisaidie kwanza hapo.

Kamulize matayo na nchimbi waliondoka na usafiri gani dodoma baada ya nyadhifa zao kutenguliwa?
 
mbona mimi sijaitwa dar na ni waziri?
 
Kamulize matayo na nchimbi waliondoka na usafiri gani dodoma baada ya nyadhifa zao kutenguliwa?

Tofauti ni kuwa huyo mbunge wake uwaziri bado haujatenguliwa. na habari ya kurudisha gari la serikali anaambiwa dreva au waziri mwenyewe?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom