Kumekucha: Mawaziri waitwa Dar ghafla!

Status
Not open for further replies.
Wana JF,

Dereva wa mbunge wangu ambaye ni Waziri wa Maji asubuhi wakati tunapata supu kwa nguluma hapa Mwanga alipokea simu kutoka mahali anapopajua yeye na kusema kuwa ameambiwa apeleke gari TEMESA kama ana mafuta basi mpaka saa kumi leo awe amefikisha gari la serikali Dar.

Wakati huo huo mchana wa saa tano nilikuwa naenda Mjini Ms nikapata Lift ya gari binafsi la Mbunge wangu akienda KIA! Njia nzima alikuwa akimlaani Kinana na Lembeli kuwa ndio chanzo cha yote!

Natumaini yametimia mkuu kawaita ghafla

Sasa hapo si umejianika? Jamaa akipata Uwaziri lazima utamtambua.....labda kama alikutuma uje uandike huku
 
safi sana nahisi kama pinda kuachia ngazi vile,hivyo kikwete anaweza kuvunja baraza la mawaziri
 
Ndio maana yake mkuu
waziri ndiye wa kujulishwa. inferred meaning ni kuwa huyu jamaa alikuwa na dereva labda asubuhi na mchana akenda kwa mbunge wake wakaamua waende ms. wakati huo gari la serikali likiwa laelekea Dar. hapa labda atufafanulie
 
Wana JF,

Dereva wa mbunge wangu ambaye ni Waziri wa Maji asubuhi wakati tunapata supu kwa nguluma hapa Mwanga alipokea simu kutoka mahali anapopajua yeye na kusema kuwa ameambiwa apeleke gari TEMESA kama ana mafuta basi mpaka saa kumi leo awe amefikisha gari la serikali Dar.

Wakati huo huo mchana wa saa tano nilikuwa naenda Mjini Ms nikapata Lift ya gari binafsi la Mbunge wangu akienda KIA! Njia nzima alikuwa akimlaani Kinana na Lembeli kuwa ndio chanzo cha yote!

Natumaini yametimia mkuu kawaita ghafla

wewe ni ------hudhan kama unaweza kumuharibia kazi mwenzako, kwan ilikuwa mpaka umtaje anapofanyia kazi? watu wengine bana-mbona wewe hutumii jina lako halisi?
 
Kipi hakielewek unaweza kuwa na gari ya ofisi ukaona ni bora uwahi kufika na ndege then gari ikukute huko. Si unajua mambo ya kuwek sawa mambo lazima kuwahi
 
Mkuu anayepaswa kuambiwa arudishe gari ya serikali ni waziri au dereva?

Huyo mbunge wako waźiri alikuwa Same na gari ya Waziri at the same time gari lake binafsi? Hebu nisaidie kwanza hapo.

Mkuu..kwani anayekabidhiwa gari ni waziri au dereva??!

Ndio maana madereva wa serikali wana jeuria sana. Wanakabidhiwa magari wao kama ofisi yao.
 
Wanakuja kumpokea dr mgimwa marehemu!Hili kila mtu aonekane ameshiriki..!PESA HIPO SHIDA NI MATUMIZI.DEREVA ANAKUJA NA GARI THEN MIZIGO INAKWEA PIPA.
 
sitarajii jipya! kinachokosekana ni usimamizi. Hata mawaziri wakiwa wazuri kiasi gani, kama hawana target and reporting protocal ya utendaji wao, hata hawa watabadilishwa miezi michache ijayo.
 
Namharibia nini? Wao wanavyoiba diesel inayoyonuliwa kwa kodi zetu, magar hayo wanavyoyapeleka kwa waganga wa kienyeji wakiwa na mabosi wao kazi ambayo haipo kwenye schedulle za mawaziri, ving'amuzi vya mabosi wao wanavyopakia kwenye magari yetu na kuyanajis ni jambo la maana hilo? Na wafukuzwe kama kusema kweli ni kosa! Allaa!
wewe ni ------hudhan kama unaweza kumuharibia kazi mwenzako, kwan ilikuwa mpaka umtaje anapofanyia kazi? watu wengine bana-mbona wewe hutumii jina lako halisi?
 
Mabadiliko yoyote katika baraza la mawaziri ambayo yataendelea kumuweka PINDA madarakani ni upuuzi...please Mr President tuondolee huu mzigo...
 
Huyo Lembeli ndio nani!!!!!!!!!!

Ni Mwenyekiti wa kamati iliyoibua vioja vya Wizara ya Mali asili na wizara ya mifugo,mambo ya ndani na Ulinzi . Limbeli huwa ni Mkali sana pindi akiamua lakini huwa anachemsha baadhi Mfano hao upo pale Kawe kuna Mzee anaitwa Ngonyani alimpelekea malalamiko yake juu ya kudhulumiwa Haki yake ya kuuza kiwanja kwa Mama mchungaji Rwakatare lakini Limbeli alishindwa kumsaidia kabsa hadi Leo Mzee ngonyani anataabika hajui lini atalipwa Haki yake
 
Wana JF,

Dereva wa mbunge wangu ambaye ni Waziri wa Maji asubuhi wakati tunapata supu kwa nguluma hapa Mwanga alipokea simu kutoka mahali anapopajua yeye na kusema kuwa ameambiwa apeleke gari TEMESA kama ana mafuta basi mpaka saa kumi leo awe amefikisha gari la serikali Dar.

Wakati huo huo mchana wa saa tano nilikuwa naenda Mjini Ms nikapata Lift ya gari binafsi la Mbunge wangu akienda KIA! Njia nzima alikuwa akimlaani Kinana na Lembeli kuwa ndio chanzo cha yote!

Natumaini yametimia mkuu kawaita ghafla

Kumtaja huyo Dereva Kama chanzo cha uvumi inaelekea ni Kama unataka kumkomoa hii si njia bora ya kuonyesha chanzo cha tetesi
 
Uvumi Tetesi uzushi na kuhisi hv Mara vile imekuwa sehemu ya maisha ya Wanasiasa wa Tz na wao wanafanya kazi kwa hofu hawajiamini kwani wanajua mda wowote kitanuka tu Ndio Maana Ufisadi hauwezi kuisha kwani wanatumia Fursa haraka kuvuna chochote kilicho mbele ili siku wakivuliwa Gamba njaa isibishe hodi kwa kasi .
 
Huyo mbunge wake kiboko. Alikuwa na gari la waziri same, at the same time alikuwa na gari lake binafsi. Akili za kuambiwa changanya na za mbayuwayu.

Anko hata mimi nimeshtukia mada ina kauongo kwa mbaali
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom