Kumekucha: CCM kuwafungia Maisha wagombea watakaokutwa na hatia ya rushwa kwenye uchaguzi mkuu

Labda kwenye mchujo wa CCM baada ya hapo watapita bila kupingwa.
CCM imetoa onyo kwa wagombea wake wote wa uchaguzi mkuu kwamba yoyote atakayepatikana akitoa rushwa atafungiwa maisha yake yote kushiriki uchaguzi kupitia chama hicho.

Hii ni hatua muhimu sana katika kudhibiti wale wote wenye nia ya kununua nafasi za uongozi.

Source Mtanzania Jumapili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wawafungie wanachama wote kuanzia mwenyekiti
 
CCM imetoa onyo kwa wagombea wake wote wa uchaguzi mkuu kwamba yoyote atakayepatikana akitoa rushwa atafungiwa maisha yake yote kushiriki uchaguzi kupitia chama hicho.

Hii ni hatua muhimu sana katika kudhibiti wale wote wenye nia ya kununua nafasi za uongozi.

Source Mtanzania Jumapili
Je wanao/watakao toa rushwa kabla na baada ya chaguzi wanao uwezo wa kuwapata?
 
CCM imetoa onyo kwa wagombea wake wote wa uchaguzi mkuu kwamba yoyote atakayepatikana akitoa rushwa atafungiwa maisha yake yote kushiriki uchaguzi kupitia chama hicho.

Hii ni hatua muhimu sana katika kudhibiti wale wote wenye nia ya kununua nafasi za uongozi.

Source Mtanzania Jumapili

Kinara wa rushwa anavojipanga kuwadhibiti wenzake... Hiyo moral authority anaitoa wapi??
Anyway... Tanzania kila mtu yupo ki rushwa rushwa.
Kinachotofautiana ni levels za uoga, cheo na upigaji!
 
CCM imetoa onyo kwa wagombea wake wote wa uchaguzi mkuu kwamba yoyote atakayepatikana akitoa rushwa atafungiwa maisha yake yote kushiriki uchaguzi kupitia chama hicho.

Hii ni hatua muhimu sana katika kudhibiti wale wote wenye nia ya kununua nafasi za uongozi.

Source Mtanzania Jumapili
Mtaanza na magufuli au? maana huyu mwenyekiti wenu bila hila na rushwa hana analoweza
 
Je akipatikana na hatia ya kuiba kura kwa msaada wa Polisi na Msimamizi wa uchaguzi ??
CCM imetoa onyo kwa wagombea wake wote wa uchaguzi mkuu kwamba yoyote atakayepatikana akitoa rushwa atafungiwa maisha yake yote kushiriki uchaguzi kupitia chama hicho.

Hii ni hatua muhimu sana katika kudhibiti wale wote wenye nia ya kununua nafasi za uongozi.

Source Mtanzania Jumapili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwanachama yeyote wa CCM anaeingia madarakani kwa Rushwa anzia ngazi ya Mwenyekiti wa kitongozi mpaka juu wote wasafi ,hivyo hiyo kauli eti watafungiwa maisha la kwa vyama vya upinzani.CCM Safiiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo we uko Lumumba unajua huku kwetu kinachoeemdelea?Mpaka wakuu wa idara wezi na ni Wala rushwa ufisadi Kila nyanja cjui Pccb wako WApi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM imetoa onyo kwa wagombea wake wote wa uchaguzi mkuu kwamba yoyote atakayepatikana akitoa rushwa atafungiwa maisha yake yote kushiriki uchaguzi kupitia chama hicho.

Hii ni hatua muhimu sana katika kudhibiti wale wote wenye nia ya kununua nafasi za uongozi.

Source Mtanzania Jumapili
Chadema na Act watavuna wengi, hii sheria ikitimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom