Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,080
- 10,436
Pamoja na yanayosemwa kuhusu CCM picha hii inaonyesha imechukuliwa wakati wa maandalizi, haiwezekani kukbaki tupu wakati eneo hilo lina wanachama, na kabisa kwa miji mingi Dar wasindikizaji hawatakosekana. Tuwe tunaleta taswira za ukweli wa tukio si kutegea nafasi ambazo si hali halisi.
Khaa!!! Bora wapost vitu kama hivi ili angalau wapate muda wa kujifariji na kugonga glass za wine wasahau matatizo kwa muda