ngorope
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,112
- 243
Mkuu Pisto Lera, kwanza asante kutuletea hii!, pili its just too good to be true!. Picha itakuwa imepigwa kabla ya tukio!.
Msitumie uongo na ghilbu kujenga very high expectations za matumaini ya uongo!.
Najitahidi sana kuwa mkweli toka kwenye nafsi yangu, uongo kama huu, sio tuu haujengi, bali hausaidii zaidi ya kujenga matumaini hewa na kujifariji tuu!.
Pasco
Moja ya sifa kuu ya great thinker ni data (evidence) wao wameleta picha ya maandalizi ya mkutano wamalize kwa picha ya mkutano wenyewe