timu bamia
Senior Member
- Aug 9, 2014
- 154
- 22
mwisho wao ushafika hao maccm
Huu ni mkutano wa ccm jioni hii Segerea mwisho,wamejikuta ni viongozi na wamama wa kuhesabu kama tunavyoona,viti vyote viko wazi pamoja na kupiga muziki kutwa nzima ya leo,Nyie watu someni alama za nyakati......
MPAKA TUNATOKA ENEO LA TUKIO HAKUKUWA NA MWANANCHI YOYOTE ALIE JITOKEZA ZAIDI YA VIONGOZI WA CCM NA WAKEZAO.
TIZAMA JUA LINAVYO SOGEA BILA MATUMAINI
What is the highest level of education completed by your father?
Imebidi .........aka Dr.Mtumbo .......
hiyo ID nimeitilia mashaka kitambo sana !
Huu ni uongo mkutano ulikuwa saa 10 jioni ,picha umechukua saa 2asubuhi.
Yeye alikuwa anawahi kanisani akawahi kupiga picha hiyo saa 2.Wewe uliyepiga saa 10 wakati wa mkutano,tunaomba picha yako hapa tuamue.
Mkuu Pisto Lero, asante. Nimetanguliza neno "too good to be true!", kwa vile ulicholeta ni picha, seeing is believing, yaani ukileta picha watu waone, kuona ni kuamini, na yale maneno yako yalioandamana na hiyo picha ni maneno ya "make believe!" kuwaaminisha watu humu kuwa sasa CCM ndio imechokwa kiasi hiki! kitu ambacho ni kweli CCM imechokwa ila sio kwa kiwango hicho cha totally empty seats kiasi hicho!.nashukuru sana ila dhibitisha uongo wangu.
Zile Fuso za kubebea watu hazifanyi kazi pande hizo.
Naona segerea wanaanza kurudiwa na akili
Wewe mpuuzi kweli umepiga picha mapema kabla watu kufika unakuja kutoka povu huku JF kilaza mkubwa
kiwango cha elimu ya baba yangu hakitakusaidia ila shule ameenda sana kuliko unavyojifikiria na kuona kuwa ukiandika kwa kingereza hapa jf ndo ujiko wengine tunakuona mburula tu jenga hoja zenye mashiko acha kutaradadi
Embu tuletee zako baada ya watu kufika.Wewe mpuuzi kweli umepiga picha mapema kabla watu kufika unakuja kutoka povu huku JF kilaza mkubwa
Wewe ndiye povu linakutoka kwa hofu,2015 ccm bye bye!
Embu tuletee zako baada ya watu kufika.
Mkuu big in, huyu jamaa ni kauzu sana hizi picha zinaonyesha kwanza kama ndio wamemaliza kuandaa kwa kuanza na hao wamama hapo chini kama vile wanabadilishana mawazo machache huku wakisubiri wageni wakuu, mbona sioni picha ya mgeni rasmi hapo, inaonyesha kwamba ndio wapo wanawasubiri,ccm inapendwa sana na watanzania wa rika zote ndio maana umeona wameandaa viti vya kutosha kwa umati mkubwa unaotarajiwa kuhudhuri, huyu pimbi mleta mada anakwenda kupiga picha wakati wa maandalizi kweli chadema kuna vijana wehu
Wakereketwa wa lumumba mko wapi Ifweero, Faizafox, Msalani, MwanaDiwani nk chama kinapigwa mawe huku
No, huwa nakula baada ya kuingiza siku and not before, nile na-celebrate nini...consumtion?Sikuwepo kwenye tukio mkuu asubuhi umekunywa chai?
mkuu hujajua kuwa ni warushi? Hapa town ni ngumu mno kila mtu mjanja anajuwa kuwa atarushwa malipo yakezile fuso za kubebea watu hazifanyi kazi pande hizo.
Naona segerea wanaanza kurudiwa na akili