Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

Wewe mpuuzi kweli umepiga picha mapema kabla watu kufika unakuja kutoka povu huku JF kilaza mkubwa

Mkiambiwa kuwa chama chenu kimechokwa na wananchi mnabisha wenzenu wanapofanya mikutano wananchi ndio wanaowasubiri viongozi wafike.Tofauti na chama chenu cha CCM ambapo viongozi wenu ndio wanaowasubiri wananchi wafike.
 
jenga hoja acha kubwabwaja. muoneshe kuwa jamaa ni kilaza na ana chuki binafsi kwa kuonesha picha yenye watu sasa baada ya kuja kwenye mkutano. great thinkers argue with facts.

Just because you are intelligent or have great knowledge does not mean you can think critically
 
Mkiambiwa kuwa chama chenu kimechokwa na wananchi mnabisha wenzenu wanapofanya mikutano wananchi ndio wanaowasubiri viongozi wafike.Tofauti na chama chenu cha CCM ambapo viongozi wenu ndio wanaowasubiri wananchi wafike.

Kwani kuna kiongozi hapo?
 
Watabaki kutumia pesa nyingi na nguvu za vyombo vya dora for nothing! Wasubilie 2015 na wafanye uhuni wao ndo wajue watanzania wanavyoweza kukasilika! Wanaishi kwa ujanja tu...
 
Just because you are intelligent or have great knowledge does not mean you can think critically

HEBU NIAMBIA KWENYE PICHA HAPO CHINI KITI KIPO WAPI?

1897.jpg
 
Watabaki kutumia pesa nyingi na nguvu za vyombo vya dora for nothing! Wasubilie 2015 na wafanye uhuni wao ndo wajue watanzania wanavyoweza kukasilika! Wanaishi kwa ujanja tu...

Magamba wanatumia pesa nyingi mno kununua watu na kukodisha malori ya kusomba watu kwenye mikutano yao..wakati hospitali ya taifa muhimbili haina hata cut scun machine. ..haina machines hata za kupima mapigo ya moyo
 
Huu ni mkutano wa ccm jioni hii Segerea mwisho,wamejikuta ni viongozi na wamama wa kuhesabu kama tunavyoona,viti vyote viko wazi pamoja na kupiga muziki kutwa nzima ya leo,Nyie watu someni alama za nyakati......

MPAKA TUNATOKA ENEO LA TUKIO HAKUKUWA NA MWANANCHI YOYOTE ALIE JITOKEZA ZAIDI YA VIONGOZI WA CCM NA WAKEZAO.

TIZAMA JUA LINAVYO SOGEA BILA MATUMAINI
Mkuu Pisto Lera, kwanza asante kutuletea hii!, pili its just too good to be true!. Picha itakuwa imepigwa kabla ya tukio!.
Msitumie uongo na ghilbu kujenga very high expectations za matumaini ya uongo!.
Najitahidi sana kuwa mkweli toka kwenye nafsi yangu, uongo kama huu, sio tuu haujengi, bali hausaidii zaidi ya kujenga matumaini hewa na kujifariji tuu!.

Pasco
 
Huu ni mkutano wa ccm jioni hii Segerea mwisho,wamejikuta ni viongozi na wamama wa kuhesabu kama tunavyoona,viti vyote viko wazi pamoja na kupiga muziki kutwa nzima ya leo,Nyie watu someni alama za nyakati......

MPAKA TUNATOKA ENEO LA TUKIO HAKUKUWA NA MWANANCHI YOYOTE ALIE JITOKEZA ZAIDI YA VIONGOZI WA CCM NA WAKEZAO.

TIZAMA JUA LINAVYO SOGEA BILA MATUMAINI

Hiyo ni Trailer! Movie bado inakuja!
 
Hahaha hahaha hahaha dah kubeba watu na malori ni dharau kubwa sana...wangekodi hata ma bus magamba bwana ni wahuni..kuanzia mwenyekiti wao, katibu wote wahuni, ila nasikia wanawapatia na tshs 3,000 juu kila anaye bebwa na malori

ha ha ha! bado wanashikana mashati wana deni la UDA kupeleka watu UDASA kwenye mdahalo wajanja wamekula bingo chezea magamba wewe
 
Hapa elimu ya photograph inahusika. Ukikosa muda kwenye picha, tizama kivuli na mwelekeo wa JUA. Yatosha.
 
Back
Top Bottom