Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

Endelea kuongopa.

angalia nilipozungushia hapo

attachment.php
 
Hahaha hahaha magamba safari hii mmeula wa chuya mbinu zenu zote chafu zimefeli
 
umenifanya nicheke sana kamanda!

hahahahaha ukiangalia hiyo picha kivuli cha mtu na fimbo yake vinaonekana. kiti hapa hakikuwepo kabisa alikuwa mwanamazingaombwe. sasa ukiangalia picha za huko juu kivuli cha miti kinaonyesha kabisa ilikuwa jioni halafu watu wanasema ilikuwa mchana. pili hivi uliona wapi high table wanakuwa wa kwanza kufika kwenye ukumbi? tulitegemea wao wawe wa mwisho lakini kwa hapa high table imeshajaa halafu wale wapiga makofi hawapo halafu unasema ilikuwa mapema.
 
Zile Fuso za kubebea watu hazifanyi kazi pande hizo.
Naona segerea wanaanza kurudiwa na akili

Pamoja na yanayosemwa kuhusu CCM picha hii inaonyesha imechukuliwa wakati wa maandalizi, haiwezekani kukbaki tupu wakati eneo hilo lina wanachama, na kabisa kwa miji mingi Dar wasindikizaji hawatakosekana. Tuwe tunaleta taswira za ukweli wa tukio si kutegea nafasi ambazo si hali halisi.
 
Hahaha hahaha hahaha magamba safari hii mmeula wa chuya hahaha hahaha
 
Khaa!! Unapiga picha wakati upambaji halafu unaleta kwa maGT?? Wenye akili fupi ndiyo huwa wanaoanisha wingi wa watu na kukubaliwa kwa chama. Mbona hata kwenye kigodoro huwa umati unajaa?? Acha ujinga bana
 
Wazanzibari hao wanamsikiliza Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif. Hakuna kulala Mpaka kieleweke, Mamlaka Kamili ya Zanzibar Huru
 
Back
Top Bottom