Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 756
- 322
CCM byebye
No, huwa nakula baada ya kuingiza siku and not before, nile na-celebrate nini...consumtion?
Ambayo ningekula walishaichukua kwenye mshahara wangu as income tax na kuipeleka kwenye posho na kubebea watu kwenye malori na kuwapeleka kwenye mikutano, kukodishia vipasa sauti bungeni.......!
type of the tax is not a problem! matumizi yake ndo problem...get it?I'm not a fan of flat taxes.In tz wealthier people pay 45% I don't think that figure should be reduced.I think all taxes should be based on income.Sales taxes unfairly affect the poorest in society,as it costs them a far higher proportion of their income
ngorope sijui nguruwe,wewe nimegundua ni housegirl wa mnyika ndani,unatetea ujinga ujinga wa chadema hapa jf,tazama picha vema imepigwa kabla ya mkutano hujaanza na huyo mnywa viroba mwenzako,ccm inapendwa na inakubalika na watanzania wengi. Huo uwanja hautatosha hapo watafurika na kumwagika sana
wanafiki wataendelea kuumbuka , na watashangaa kwanini wanaumbuka ! Mungu ni mwema .jana mtu mzima kaumbuka...alipost comment kwa jina lake halisi alafu akajichangaja akarudi kujibu comment ya BENSaanane kwa ID ya Imebidi. Hiyo thread hadi mda huu ipo na inachangiwa na magreat thinker lakini yeye Imebidi alipoona amejichanganya ajatia pua yake tena hadi leo
nimemdharau sana huyu Mmaranguorijino !Mmarangukoko matusi ni upeo mdogo wa kujenga hoja mheshimiwa kada wa ccm uishiye mbezi tuwekee basi picha ya watu wakiwa mkutanoni maana tayari mkutano ulishafanyika na kiongozi mkuu kama wewe huwqezi kukosa hata kapicha kamoja japo ka photoshop uzugie
C.c
m@ke*nge maji yafutayo.
Mwanadiwani,msalani,ifweero,chabruma,ritz,assyndria,tony gwanko,nape,mkya,
na machumia tumbo yote niliyo yasahau njooni muone vilaza wen*zenu wanavyo aibika!
Mkuu big in, huyu jamaa ni kauzu sana hizi picha zinaonyesha kwanza kama ndio wamemaliza kuandaa kwa kuanza na hao wamama hapo chini kama vile wanabadilishana mawazo machache huku wakisubiri wageni wakuu, mbona sioni picha ya mgeni rasmi hapo, inaonyesha kwamba ndio wapo wanawasubiri,ccm inapendwa sana na watanzania wa rika zote ndio maana umeona wameandaa viti vya kutosha kwa umati mkubwa unaotarajiwa kuhudhuri, huyu pimbi mleta mada anakwenda kupiga picha wakati wa maandalizi kweli chadema kuna vijana wehu
😛eace:lete za kwako za muda kamiliWewe mpuuzi kweli umepiga picha mapema kabla watu kufika unakuja kutoka povu huku JF kilaza mkubwa
Kuna siku watu wataamka na kubaini unafiki huu....zamani nilimheshimu sana MANGULA, ila alipokubali kurudi kuja kuikoa CCM aisee alichemsha vibaya...alichotakiwa yeye ni kuikoa TANZANIA!Hii kitu hawakuleta?
![]()
I wasn't arguing with you.Ngorope.Stop reading into everything as if it's a formal debate.It's just the internet and it's a randomness forum on a world of warcraft website.If you want to act like an intellectual,this is not the best place to do it.