Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Huu ni mkutano wa ccm jioni hii Segerea mwisho,wamejikuta ni viongozi na wamama wa kuhesabu kama tunavyoona,viti vyote viko wazi pamoja na kupiga muziki kutwa nzima ya leo,Nyie watu someni alama za nyakati......

MPAKA TUNATOKA ENEO LA TUKIO HAKUKUWA NA MWANANCHI YOYOTE ALIE JITOKEZA ZAIDI YA VIONGOZI WA CCM NA WAKEZAO.

TIZAMA JUA LINAVYO SOGEA BILA MATUMAINI
 
Attachments

  • 10296176_273932236130940_1545995819017578213_o.jpg
    10296176_273932236130940_1545995819017578213_o.jpg
    138.5 KB · Views: 11,665
  • 10498425_273932282797602_9077932584483539551_o.jpg
    10498425_273932282797602_9077932584483539551_o.jpg
    196.6 KB · Views: 11,521
  • 10540712_273932389464258_7284047697583901308_o.jpg
    10540712_273932389464258_7284047697583901308_o.jpg
    171.4 KB · Views: 11,704
Maccm yanakataliwa kila kona,

Mzee Sitta wa CCJ anayauwa plus Mwenyekiti wao.
 
ha ha ha ha haaaa!!! halafu tukiwaambia watu wamechoka hawasikiii wanakataa haya sasa bora umetuletea ushahidi kamili wapinge na hili
 
Zile Fuso za kubebea watu hazifanyi kazi pande hizo.
Naona segerea wanaanza kurudiwa na akili
 
Hii ni uhakika kabisa na hukum kwetu zanzibar walijaribu kufanya mkutano mji mkongwe, basi walipiga ngoma zao mpaka. Hamna aliejitokeza mwisho wakaondoka kama wageni wasio mualiko.
Leo tumeona kibanda maiti kulivo furika. Maalim Seif alinguruma huko na kuwakatisha tamaa kabisa CCM zanzibar. Hiyo katiba yao watarudi nayo wenyewe. Kwa Zanzibar hamna katiba mpya.
 
C.c
m@ke*nge maji yafutayo.
Mwanadiwani,msalani,ifweero,chabruma,ritz,assyndria,tony gwanko,nape,mkya,
na machumia tumbo yote niliyo yasahau njooni muone vilaza wen*zenu wanavyo aibika!
 
Huu ni mkutano wa ccm jioni hii Segerea mwisho,wamejikuta ni viongozi na wamama wa kuhesabu kama tunavyoona,viti vyote viko wazi pamoja na kupiga muziki kutwa nzima ya leo,Nyie watu someni alama za nyakati......

MPAKA TUNATOKA ENEO LA TUKIO HAKUKUWA NA MWANANCHI YOYOTE ALIE JITOKEZA ZAIDI YA VIONGOZI WA CCM NA WAKEZAO.

Wewe mpuuzi kweli umepiga picha mapema kabla watu kufika unakuja kutoka povu huku JF kilaza mkubwa
 
Malori, mafuso, maisuzu nk hayakuwepo kuhamisha watu?

Au pesa ya kugawia wananchi wahudhurie haijaibwa hazina?
 
hii ni uhakika kabisa na hukum kwetu zanzibar walijaribu kufanya mkutano mji mkongwe, basi walipiga ngoma zao mpaka. Hamna aliejitokeza mwisho wakaondoka kama wageni wasio mualiko.
Leo tumeona kibanda maiti kulivo furika. Maalim seif alinguruma huko na kuwakatisha tamaa kabisa ccm zanzibar. Hiyo katiba yao watarudi nayo wenyewe. Kwa zanzibar hamna katiba mpya.

hukukwetu wanasema ukiona mbwa anaiba nyumbani ujue anakaribia kufa. Hawa wameiba haki ya watanzania wanastahili kifo
 
Hii ni uhakika kabisa na hukum kwetu zanzibar walijaribu kufanya mkutano mji mkongwe, basi walipiga ngoma zao mpaka. Hamna aliejitokeza mwisho wakaondoka kama wageni wasio mualiko.
Leo tumeona kibanda maiti kulivo furika. Maalim Seif alinguruma huko na kuwakatisha tamaa kabisa CCM zanzibar. Hiyo katiba yao watarudi nayo wenyewe. Kwa Zanzibar hamna katiba mpya.

Daaaa jamani tuwekeeni uhondo wa kibanda maiti mbona mnakuwa wachoyo wakati sote nihaki yetu, tunataka kuona jinsi interahamwe wanavyoumbuka. Tunampongeza mleta hii thread, wekeni na ya zenji basi
 
Hii ni uhakika kabisa na hukum kwetu zanzibar walijaribu kufanya mkutano mji mkongwe, basi walipiga ngoma zao mpaka. Hamna aliejitokeza mwisho wakaondoka kama wageni wasio mualiko.
Leo tumeona kibanda maiti kulivo furika. Maalim Seif alinguruma huko na kuwakatisha tamaa kabisa CCM zanzibar. Hiyo katiba yao watarudi nayo wenyewe. Kwa Zanzibar hamna katiba mpya.

Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
 
wewe mpuuzi kweli umepiga picha mapema kabla watu kufika unakuja kutoka povu huku jf kilaza mkubwa

acha ungese we kilaza ya nini kuingilia michango ya wengine, kama inakukera acha kuchangia chochote.
 
Back
Top Bottom