Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

Just because you are intelligent or have great knowledge does not mean you can think critically
sawa tuje kwenye mada yenyewe sasa. unazo picha zinanoonesha watu wamejaa kwenye mkutano huo, ili tuanzie hapo kujenga hoja kuwa mleta mada ni muongo?
 
mkuu pisto lera, kwanza asante kutuletea hii!, pili its just too good to be true!. Picha itakuwa imepigwa kabla ya tukio!.
Msitumie uongo na ghilbu kujenga very high expectations za matumaini ya uongo!.
Najitahidi sana kuwa mkweli toka kwenye nafsi yangu, uongo kama huu, sio tuu haujengi, bali hausaidii zaidi ya kujenga matumaini hewa na kujifariji tuu!.

Pasco

kuna wakati huwa naamini akili yako huwa iko likizo kwaajili ya kuwatumikia mabwana mikubwa wa sahara huku wewe ukiwa na box fulani zito lenye mfano wa kichwa.
-ni kipi kinachokufanya uukatae ukweli aliopost mkuu pisto lero, wakati eneo la tukio hukuwepo?
 
Waliuliza kama kuna malori ya kuwasomba na mpunga, wakajibiwa vyote hakuna. Basi nao wakawaambia haji mtu kwenye mkutano wa Maintarahamwe.
 
Wewe mpuuzi kweli umepiga picha mapema kabla watu kufika unakuja kutoka povu huku JF kilaza mkubwa

Tehteh teh halafu mtani hembu niwasaidieni kitu kama mnataka kujipima kama kweli bado mnaishi kwenye mioyo ya watu hembu fanyeni mikutano yenu bila wanamuziki au kuzoazoa mashangingi na mateja halafu ndio mfanye tathmini vinginevyo mnapigana na upepo.
 
hebu niambia kwenye picha hapo chini kiti kipo wapi?

1897.jpg

umenifanya nicheke sana kamanda!
 
waliuliza kama kuna malori ya kuwasomba na mpunga, wakajibiwa vyote hakuna. Basi nao wakawaambia haji mtu kwenye mkutano wa maintarahamwe.

hadi kufika 2015 magamba'c.c.em' lazima yawe mochwari yote.
 
Na badoo.

Mtwara tunawasubiri kwa hamu sana haoo.

Wanatujua sisi nongwa zetu wamakonde.
 
I do sometimes accuse people of ignorance, but that is not intended to be an insult,mtu kama wewe unataka jibu gani?mimi sikuwepo huko kwenye mkutano nitapata wapi picha?

hiyo sentensi ya mwisho kwamba hukuwepo hivyo huna picha ndio neno , mengine yote porojo tu .
 
Back
Top Bottom