ngorope
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,112
- 243
Halafu wanasema wanawakilisha walio wengi. waangalie maudhurio ya wachache kibandamaiti!
Leo fuso zimekosa wa kusomba HONGERA WATANZANIA KILA UCHAO MMNAUPATA UKWELI
Halafu wanasema wanawakilisha walio wengi. waangalie maudhurio ya wachache kibandamaiti!
Hizi fuso zimeamia Mwanza na Shinyanga mkuu mwenyewe kazichukua😱😱
Mkuu malori wamekosa?
Huu ni mkutano wa ccm jioni hii Segerea mwisho,wamejikuta ni viongozi na wamama wa kuhesabu kama tunavyoona,viti vyote viko wazi pamoja na kupiga muziki kutwa nzima ya leo,Nyie watu someni alama za nyakati......
MPAKA TUNATOKA ENEO LA TUKIO HAKUKUWA NA MWANANCHI YOYOTE ALIE JITOKEZA ZAIDI YA VIONGOZI WA CCM NA WAKEZAO.
TIZAMA JUA LINAVYO SOGEA BILA MATUMAINI
tizama hizo picha vizuri usisahau pia kutizama jua linavyo songa kisha uwapelekee salam zao huko lumumga
Mashupaa yanakula hela zetu huko dom eti yanatengeza katiba ya chama cha mashupaaMaccm yanakataliwa kila kona,
Mzee Sitta wa CCJ anayauwa plus Mwenyekiti wao.
Hizi fuso zimeamia Mwanza na Shinyanga mkuu mwenyewe kazichukua😱😱
jenga hoja acha kubwabwaja. muoneshe kuwa jamaa ni kilaza na ana chuki binafsi kwa kuonesha picha yenye watu sasa baada ya kuja kwenye mkutano. great thinkers argue with facts.Wewe mpuuzi kweli umepiga picha mapema kabla watu kufika unakuja kutoka povu huku JF kilaza mkubwa
Huko nako wameanza kuamka zitakosa wapandaji karne ya 21 ubebwe kwenye fuso umekuwa ng'ombe
pole unatia huruma sana
Hizi fuso zimeamia Mwanza na Shinyanga mkuu mwenyewe kazichukua😱😱
Wewe mpuuzi kweli umepiga picha mapema kabla watu kufika unakuja kutoka povu huku JF kilaza mkubwa
Huruma kwani nimefiwa?
kwa maelezo yake kasema amepiga picha kwa muda tofauti tofauti mpaka jua linazama hakuna watu. i you want to prove him/her wrong, leta picha ilojaa watu maeneo hayo. watu tutajua mleta mada ni muongo na mzandiki. otherwise, we ndo muongo na unabwabwaja tu bila hoja.Siku nyingine ujaribu kupiga picha angalau muda mfupi kabla ya mkutano kuanza ili tukuelewe manake hii picha umepiga saa nne asubuhi wakati watu wanafanya maandalizi hata jinsi watu walivyosimama hapo unaona kabisa kuwa hakuna mkutano unaoendelea...shame on u..!!
Picha hizo in za kweli kabisa hapo no segerea mwisho shule ya migombani...Leo wamepiga mziki kuanzia SAA 1 asubuhi hakuna watu waliokuwepo zaidi ya wanawake wachache