Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

Kumekucha CCM, hii ni aibu ya mwaka

Halafu wanasema wanawakilisha walio wengi. waangalie maudhurio ya wachache kibandamaiti!
 
Hii ni uhakika kabisa na hukum kwetu zanzibar walijaribu kufanya mkutano mji mkongwe, basi walipiga ngoma zao mpaka. Hamna aliejitokeza mwisho wakaondoka kama wageni wasio mualiko.
Leo tumeona kibanda maiti kulivo furika. Maalim Seif alinguruma huko na kuwakatisha tamaa kabisa CCM zanzibar. Hiyo katiba yao watarudi nayo wenyewe. Kwa Zanzibar hamna katiba mpya.

Like like! Wakweli wanzanzibari wapo next level.
 
Mkuu ukiangalia kivuli cha juwa mbona kama jioni kwenye picha hii hapa chini? kama tumedanganywa tuwekee ya ukweli mkuu

attachment.php

Mkuu leo kulikuwa hakuna jua
 
Hyo n mchana kabsa inaonekana, mlikuja na maneno haya haya kule kalenga mkaangukia pua, kma mnadhan kujaza watu na kupotosha watu kwa picha ndo ushindi endeleeni hvo hvo mtatunukiwa vyeti @ pro CDM


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Malori, mafuso, maisuzu nk hayakuwepo kuhamisha watu?

Au pesa ya kugawia wananchi wahudhurie haijaibwa hazina?

Ila katika bajeti yao ya matumizi wameandika wamekodi malori 5. Mijamaa sasa imeamua kuibiana yenyewe kwa yenyewe baada ya wabongo kuamka na kukosa cha kuiba.
 
hyo n mchana kabsa inaonekana, mlikuja na maneno haya haya kule kalenga mkaangukia pua, kma mnadhan kujaza watu na kupotosha watu kwa picha ndo ushindi endeleeni hvo hvo mtatunukiwa vyeti @ pro cdm


sent from my iphone using jamiiforums.uuuu

tizama hizo picha vizuri usisahau pia kutizama jua linavyo songa kisha uwapelekee salam zao huko lumumga
 
jamani hizo picha zao bado hazijatoka photoshop maana hapo leo mafuso yamegoma yote yanawahisha mazao kariakoo
 
Mkuu leo kulikuwa hakuna jua


Mkuu acha basi kuniweka mashakani hebu angalia kwenye nguzo ya umeme, juu ya jukwaa la upande wa kulia na kwenye viti

utauona mwanga wa juwa, kisha angalia chini ya picha utaona kivuli na kajuwa kakijipenyeza kwenye matundu ya kivuli cha miti mkuu

attachment.php
 
Mkuu leo kulikuwa hakuna jua

kwi kwi kwi ulillifungia jua? ama kweli magamba kiboko hadi jua mnalizuia kwa hiyo hayo maturubai ni ya mvua? na mbona viti vingi havipo kwenye maturubai? POLEEEEEEEEEEEEEEENI
 
Zile Fuso za kubebea watu hazifanyi kazi pande hizo.
Naona segerea wanaanza kurudiwa na akili

Hizi fuso zimeamia Mwanza na Shinyanga mkuu mwenyewe kazichukua😱😱
 

Attachments

  • 1407690883379.jpg
    1407690883379.jpg
    83.2 KB · Views: 246
  • 1407690908337.jpg
    1407690908337.jpg
    99.3 KB · Views: 234
Back
Top Bottom